Diamond Platinumz ziara yake alipokuwa Kenya ilikuwa ya mafanikio. Shoo aliyoipiga ya Safaricom siku ya Ijumaa ilikuwa kubwa na baadhi ya picha kutoka tukio hilo ndizo hizi hapa...amepagawisha!!
Alafu wazushi watakuja na hoja za SEMBE......badala wadili na kina Masogange wasioeleweka, wanang'ang'ania wanaojishughulisha na kuingiza mkwanjwa kwa kujituma.