Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?


Umemaliza
 

Siwezi kumuonea wivu sababu mimi siyo msanii wa Bongo flavor, naongelea tabia zao binafsi.
 
Siwezi kumuonea wivu sababu mimi siyo msanii wa Bongo flavor, naongelea tabia zao binafsi.

Sasa nimegundua Rich Pol una loose point, mimi sijasema wewe ni msanii wa bongo flavor kamwe! Na si lazima umuonee wivu mtu aliye kwenye field yako, wivu ni wivu tu! Kuhusu tabia binafsi; no body is perfect, vile vile lazima utambue kuwa haya unayoyaona ya Diamond na Wema kwa uchache ndio maisha ya wasanii wengi duniani walio maarufu kama wao. Yawezekana wewe Rich Pol una tabia mbaya kuliko hawa wasanii lakini hakuna anakufuatilia kwa sababu impact yako si kubwa ndani ya jamii ya kitanzania. Hawa ni kioo cha jamii ndio maana Diamond au Wema wakifanya jambo dogo tu kesho yake wako kwenye vyombo vya habari! Lkn all in all Diamond ni nyota inayong'ara na anafanya biashara ya muziki BIG TIME! Tumuunge mkono wote kwa pamoja...
 
Ivi jamani kuna ulazima wa kumpenda huyo diamond wenu?hii thread inauliza nani zaidi kwa hiyo kila mtu ana uhuru wake wakutoa maoni,sioni sababu ya mtu akisema anampenda Ali Kiba kushambuliwa....anzisheni thread ya diamond peke yake basi
 
Ivi jamani kuna ulazima wa kumpenda huyo diamond wenu?hii thread inauliza nani zaidi kwa hiyo kila mtu ana uhuru wake wakutoa maoni,sioni sababu ya mtu akisema anampenda Ali Kiba kushambuliwa....anzisheni thread ya diamond peke yake basi

Hivi mtu akiuliza raisi wa tanzania ni nani jibu si ni Mhe Jakaya Mrisho Kikwete. Nafikiri umenielewa nifah
 

zipo wapi hizo nyimbo tena????
 
Ali kiba yuko juu,yeye anapata kick kwa ngoma zake kali,domo yeye kick yake ni skendo na misifa....hakuna wa kumfananisha na kiba hadi sasa....
hihihihihihi kiba kakick wapi?????
 
hi vita iliyoko sasa ya diamond na ali kiba naweza kuifananisha na vita iliyoko pale Niger ya Wizkid na Davido kila mtu anamaoni yake, ila mwisho wa siku unakuja kuona Wizkid yuko ju zaid ya davido lakin davido wana mgroup as an artist of the year 2013/2014 like a winner of ENGLISH PREMIUM LEGUE (EPL) i think you understand what am talking about.
 

Nimekusoma vyema.
 
duh watu bwana,mada niliiweka 2012 mmeifufua tena
 
Namsikiliza Ali Kiba na mdogo wake hapa, eti wanaimba kama ushawahi kupendwa pita mbele. Yaani nyimbo mbaaaaaya kinoma. Jamaa kwa Domo atasubiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…