Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
sishabikii shoga mimi
sawa nimekusikia mkuu!!...haya sasa..shoga ni yupi hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sishabikii shoga mimi
Acha wivu Rich Pol, upende husipende Diamond ni mwanamusiki aliye na kiwango cha juu hapa nchini kwa sasa. Ni wajibu wangu, wako na watanzania wengine kulitambua hili. Tuache wivu usio na faida. .....Huyu Domo huko juu inabidi tumuunge mkono kwa faida yake na taifa kwa ujumla.
Acha wivu Rich Pol, upende husipende Diamond ni mwanamusiki aliye na kiwango cha juu hapa nchini kwa sasa. Ni wajibu wangu, wako na watanzania wengine kulitambua hili. Tuache wivu usio na faida. .....Huyu Domo huko juu inabidi tumuunge mkono kwa faida yake na taifa kwa ujumla.
Siwezi kumuonea wivu sababu mimi siyo msanii wa Bongo flavor, naongelea tabia zao binafsi.
Kama wao viazi,wewe ni tikiti maji.
Ivi jamani kuna ulazima wa kumpenda huyo diamond wenu?hii thread inauliza nani zaidi kwa hiyo kila mtu ana uhuru wake wakutoa maoni,sioni sababu ya mtu akisema anampenda Ali Kiba kushambuliwa....anzisheni thread ya diamond peke yake basi
Ali Kiba mkali Diamond anabebwa na promo.
wabongo ndio wako sahihi. wazungu wanamstress tu kumfanya escorter wa davido kwenda kuchukuwa tuzo.
Ali kiba anajua sana
Ana single yake mpya kaimba na mdogo wake,inaitwa pita mbele..kumbe ata washabiki wake hamuijui?
dah..kweli noma hivi kweli kiba anabahatisha.?????
tangu Njiwa,sikuoni,cinderela,nakshi mrembo,Mali yangu,Nichum,Mapenzi yana Run dunia,Mac muga,Dushelel,Karim,Single boy e.t.c....
kwanini usingetolea mfano mistari ya nyimbo ya Dushelele.?
Hakuna nyimbo za Diamond utakuta wise words kama hzi "YULE ALIYEKUPA WEWE,NDO KANINYIMA MIMI,NA KAMA RIDHIKI ANATOA YEYE BASI NTAKOSA MIMI,ILA MOLA NO ANAETOA,TENA KWA FOLENI HATA KAMA NIPO NYUMA NITAPATA LAZIMA".....
Ally Kiba safi sana, hajisifii wala kujikweza, hapendi scandle yeye anajilia Spora kimya kimya.
hihihihihihi kiba kakick wapi?????Ali kiba yuko juu,yeye anapata kick kwa ngoma zake kali,domo yeye kick yake ni skendo na misifa....hakuna wa kumfananisha na kiba hadi sasa....
hi vita iliyoko sasa ya diamond na ali kiba naweza kuifananisha na vita iliyoko pale Niger ya Wizkid na Davido kila mtu anamaoni yake, ila mwisho wa siku unakuja kuona Wizkid yuko ju zaid ya davido lakin davido wana mgroup as an artist of the year 2013/2014 like a winner of ENGLISH PREMIUM LEGUE (EPL) i think you understand what am talking about.