Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ali Kiba kwangu atabaki ndio msanii ananivutia uimbaji wake
Lakini linapokuja swala la nani yupo juu kwa sasa basi siwezi kuidanganya nafsi yangu Diamond yupo juu sana tu

Tatizo ali kiba anajua kuimba lakini hajui kufanya muziki
Diamond hamfikii.alikiba kuimba lakini anajua kufanya muziki

Siri ya muziki ni pindi ukiwa juu hakikisha unashikilia hapo hapo, ni mwendo wa pini juu ya pini plus matangazo na mbwembwe za kufa mtu, yaani unahakikisha unawashika akili wapenzi.wako
Mbwembwe za.kufanya sijui video kwa mamilioni peke yake inakufanya kutaka kuiona hata kama huipendi
Kufanya kolabo na akina davido si mchezo

Kiba aliichezea nafasi alikaa na akina R Kelly. na mastaa kibao lakini aliporudi akapiga kolaba kadha akaanza kula nchi hivi sasa ni kama anatafuta kutoka sas

kusema kweli nimesikia nyimbo zake mbili ni nzuri lakini simuoni ali kiba ninaye mjua mimi ukilinganisha na diamond na ommy dimpoz na mavoko
inabidi ajipange aisee
 
Napenda sauti ya alikiba...lakini diamond is the best forever
 
Hivi hii nyimbo ya domo sjui kitorondo huu ni upuuzi gani...hahahaha yan huyu jamaa promo za ruge na udaku wa global ndio wamueka mjini pia amshukuru Madame Wema aiseee #TeamKinaForReal since day Uno....king ndio kasharudi domo kasanda trust me
 

Well said indeed
 

Good observation sema watu wanajitoa ufahamu kama hawajui vile.
Time will tell ingekuwa vizuri ally k mashabiki wanhemuacha afanye yake pasipo kumshindanisha na chibu maana sidhani kama ataweza kumfunika ghafla hivi
 

Sasa wewe ndo umeongea point
 
Asanteeeeee
 
Wabongo mpoje jamani mbona hii kitu haipo mnailazimisha!!!!!!? Mnapenda bifu sana etieeh
 

Ni kweli mkuu yaan watu wanawivu,hadi wanapindisha uhalisia,Diamond wakuache unaweza.
 
Madafanta...... Yaan mnacreate kitu kisichokuwepo! Nani kasema kuna beef? Hilo beef lilianza lini? Au mnatamani wawe na beef? Acheni hizo wadau!!! Kama wewe unampenda ndomo hiyo haina maana kuwa kiba hajui. Ndomo anapiga biashara ya muziki kinoma halafu kiba anaimba sana........ Kiba asante kwa kunipa cha kuongea maana kimya chako kiliwapa teamndomo kidomodomo hadi wakawa wanakera
 
me yangu macho, wewe sifia huyu ponda yule lakini mwisho wa siku wote ni watoto wetu, watanzania wenzetu.
 

Msanii na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.



Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO
ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"
 
Watu ndio wanaowachonganisha tu au ni style yaa kupromote ngoma zao
 
Mwana dsm ya Ali k. ni nyimbu 10 za ndomo..ikikuuma mshaur kakako ndomo atunge ngoma zenye ujumbe..

Daaah kaka naomba kujua elimu yako maana hapa umetoa point kama professor aliyebobea kwenye masuala ya muziki na burudani.... Bonge point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…