Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

mfa maji haachi kutapatapa!" kiba atulize kijambio chake akubali keshafulia, mziki biashara!" mziki sio ubest vacal, .......... ubest vacal ni wake na mama yake.

Grand PA
 
wakuu domo haifai alikiba hatamfikia kamwe atasubiri sana tatizo wivu umawaponza watu
 
domo ni noumer hahahahaha jamaa anakubalika balaaa sana huyu
 
Zama za Alikiba zimeshapita, now anatunga nyimbo za kitoto km Mr. Nice, diamond mwenzie yuko Marekani. Ali, kubali tu huna jipya.
 
Halafu sasa ili kujua diamond kapevuka si tu kimuziki bali kiakili pia, ataamua kupiga kimya tu maana anajua Alikiba ni mfa maji.
 
Leo Diamond anachukua tuzo za AFRIMA na hii trend ya kumsifia alikiba itaisha tu.....All in all kiba amejitahidi sana kwenye hii hit song yake ya mwana.But again management ni ishu, kwa song kama hili angetoa video kabisa, kukaribisha wadau waizindue ili publicity hii increase.People watch more tv than listening to radios, akitoa video MTV au hata channel O watamsikia.Last tym I checked on 2012 mpaka 2013 mwanzoni, MSINISEME by Alikiba was the only song with 1 million hits in EA.

Hizi ndo fact ninazo zitaka sio maneno maneno tu...diamond ananyonyeka vizuri ndo maana yupo juu ukiwa na wazee wa fitna kama RUGE,BABU TALE NA NA YULE MZEE WATMKWANAUME UNATEGEMEA NN...ALL IN ALL KIBA ANAWEZA ....ITS NOT ALL DAY UNAWEZA RAISE ABOVE FITNA NA KUTOKA WALIOWEZA NI JAYDEE NAALIKIBA TU
 
Zama za Alikiba zimeshapita, now anatunga nyimbo za kitoto km Mr. Nice, diamond mwenzie yuko Marekani. Ali, kubali tu huna jipya.

Kuwa marekani dili??watu wengine bana hata kutembea hamjatembea eti yupo marekani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wapite hivi m na malife yang wao wafanye yao majungu kuzibiana riziki .,,,
INATOXHAAA
 
Ndio ushangae sasa,eti leo kawa best vocalist.... wanamjua Chilla awa? wanamjua Bushoke? wanamjua Nurueli? wanamjua rama dee?...ingekuwa vocal ndio kila kitu nafasi ya Wacko jacko angekaa Prince, wajiulize kwa nini Michael alikuwa juu.....Au nafasi ya Boni Jovi angekaa mtu kama uncle Charlie Wilson....U-Star ni package !!!

Unachosema ni kweli kama kuimba Kiba hajamfikia Bushoke au Chila, watu wasikilize nyimbo za Bushoke halafu walinganishe na AKiba watagundua Bushoke ni number nyingine. Tatizo wao hawaangaiki kutafuta soko la muziki wao wanahangika kumshusha Diamond na itawagharimu sana.
 
Leo Diamond anachukua tuzo za AFRIMA na hii trend ya kumsifia alikiba itaisha tu.....All in all kiba amejitahidi sana kwenye hii hit song yake ya mwana.But again management ni ishu, kwa song kama hili angetoa video kabisa, kukaribisha wadau waizindue ili publicity hii increase.People watch more tv than listening to radios, akitoa video MTV au hata channel O watamsikia.Last tym I checked on 2012 mpaka 2013 mwanzoni, MSINISEME by Alikiba was the only song with 1 million hits in EA.

Vipi hiyo tuzo kachukua?tuanzie hapo.....
 
Team alikiba kazini.. Kukosa kazi huku yani mnakaa kwenye keyboard mnamfagilia alikiba..ivi anawalipa shs ngap vijana wengine mpaka mnatumie I'd Tatu Tatu basis alikiba aonekane anakubalika sana.. Ivi Kwa mziki wa diamond hata muendelee kumtukana amewaacha mbali sana., alikiba yani unatafuta kick kupitia Kwa diamond.. Diamond usiwajibu washamba hawa na swaga zao za kikimbiji..
 
Back
Top Bottom