Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

Ally Kiba hayupo level za diamond, wacha kumpa jina la bure. Tafuta wa level za diamond ndo uanze kuwalinganisha.

Mkuu siyo mimi ila kama nilivyosema ukienda kwenye media nyingi majina hayo hanatajwa pamoja, hata humu jf fun's threads zinazotamba ni za diamond na kiba na siku zote wamelinganishwa hivyo lakini hata kwenye matamasha mbalimbali mashabiki nao hujigawa kwenye makundi hayo. Kwa mtizamo wako nani ungemuweka badala yake
 
Kumlinganisha Kiba na Diamond ni sawa na kumlinganisha Messi na Falcao
 
Ipo wazi kwamba these guys ndo wanaorun bongo kwa sasa kwa 'mijisong' yao matata ya malovee,ambapo kila dude linaloachiwa hewani kwao ni 'hit'.wote wanamashabiki lukuki bongo na Africa mashariki kwa ujumla,hicho ndo kimenisukuma kutaka kujua nani zaid ya mwenzake kati ya hawa.

¤DIAMOND>
Hit songs from 2011-Moyo wangu,Mawazo,Nimpende nani,collabo vs linex(ntaificha wapi sura yangu),etc.

¤ALIKIBA>
Hit songs from 2011-Mapenzi yanarun dunia,Dushelele,Single boy,collabo vs omy dimpoz(nai nai),etc.

##NAOMBA KURA YAKO...

UPDATES
=============

peleka jukwaa husika
 
Jamani wana JF hili ni swali ambalo kila siku huwa linanitatiza hivi King Kiba na Diamond Platnum nani ana mali nyingi na ana sauti nzuri ya kuimba live on stage na sauti nzuri ya kuimba akiwa anarecord ngoma yake.
 
Kati ya wa4 mmoja ni CHIZI,utafiti umekusomba.
 
Nafikiri Ali kiba alitakiwa afananishwe na rich mavorko
Ali kiba yuko chini ya ROCKSTAR 4000
Rich mavoko yuko WCB wasafi

Ali kiba ana hit song moja iliyokaa hewani muda mrefu '' AJE ''
Rich mavoko ana ngoma moja imekaa midomoni mwa watu sana '' IBAKI STORI ''

ALI ana nyumba na sauti nzuri
Rich ana sauti ya kubembeleza na geto pia
 
Back
Top Bottom