Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusoma hujui hata picha huoni pia.Jamani wana JF hili ni swali ambalo kila siku huwa linanitatiza hivi King Kiba na Diamond Platnum nani ana mali nyingi na ana sauti nzuri ya kuimba live on stage na sauti nzuri ya kuimba akiwa anarecord ngoma yake.