Diamond Platinumz

Mleta mada unadhalilisha verified badges
Bila shaka diamond ni illuminati akubali au akatae nyimbo ambazo amekuwa anaziachia miaka hii mitano ni kielelezo tisha jamaa ni mjenzi huru nyimbo zote alizotoa zimekuwa zinapotosha zaidi jamii nyimbo zilizojaa matusi na lugha chafu isiyofaa kwa jamii mtoa mada nae amekuja na hoja kuacha kuimba matusi na kurudi kuimba nyimbo zinazoelimisha jamii kuna maswali yakujiuliza
 
Kwahiyo wote wanaoimba nyimbo za matusi ni freemason?
 
Mimi sijui vipi lakini kitendo cha kuanza kuishi na Nyoka kilinishtua sana mimi kama mtu wa kiroho.

Ile move msiichukulie poa.
 
Prof J alishawahi kuimba ili ufanikiwe unahitaji marafiki na ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui. Mleta uzi kama wewe ni Mwanamume uache tabia za kuandika uzi wa kipuuzi kama huu. Diamond ni icon ya muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania ingawa mimi sio shabiki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…