Diamond Platnum Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka East Africa | Afrimma Awards 2017

Diamond Platnum Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka East Africa | Afrimma Awards 2017

BEST EAST AFRICAN MALE ARTIST AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS [HASHTAG]#AFRIMMA2017[/HASHTAG]
 
Zari kafura usoni kama kamwagiwa amira.

Si umesusa??!, wenzio wara.
 
Screenshot_2017-10-09-10-28-00-1.png

Msanii wa kimataifa kutoka Tanzania Diamond Platnumz ajinyakulia tuzo ya Afrimma katika kipengeke cha Msanii bora wa kiume Afrika Masharika.

Diamond Platnumz amenyakua tuzo hiyo na kuwapiga chini wasanii wawili kutoka Tanzania Darassa pamoja na Ali Kiba ambao nao walikua katika kinyang’anyiro hicho ambacho Diamond ameibuka kinara.

Tuzo za Afrimma mwaka huu zimetolewa mjini Dallas, Texas nchini Marekani huku zikipambwa na wasanii mbalimbali ambao walipanda jukwaani kwa ajiri ya kufanya ‘show.’akiwemo Diamond na Rayvanny kutoka Tanzania.
Screenshot_2017-10-09-10-24-50-1.png

PianDiamond amewashinda wasanii kadhaa wakubwa wa Afrika kama Davido na Wizkid ambao walikuwa wakiwania tuzo hiyo katika kipengele kimoja kama inayonekana hapa chini;

Artist of The Year

Flavour (Nigeria)
Diamond Platnumz ( Tanzania)
Fally Ipupa- Congo
Wizkid (Nigeria)
Cassper Nyovest (South Africa)
Davido – (Nigeria)
Eddy Kenzo – Uganda
Tekno – Nigeria
Mr Eazi – Nigeria
C4 Pedro – Angola
 
Kashinda tuzo mbili
Nyingine ni msanii bora wa kiume east Africa

*****kashinda best artist of the year Africa na Best East AFRICA artist*******

^^^TUZO YA KWANZA^^^
***Artist of The Year - AFRICA***

Flavour (Nigeria)

******Diamond Platnumz ( Tanzania) – Winner******

Fally Ipupa- Congo

Wizkid (Nigeria)

Cassper Nyovest (South Africa)

Davido – (Nigeria)

Eddy Kenzo – Ugandan

Tekno – Nigeria

Mr Eazi – Nigeria

C4 Pedro – Angola


^^^TUZO YA PILI^^^
****Best Male East Africa*****


Eddy Kenzo – Uganda

****Diamond Platnumz – Tanzania – Winner*****

Jacky Gosee – Ethiopia

Ali Kiba – Tanzania

Navio – Uganda

Bebe Cool – Uganda

Sauti Sol – Kenya

Dynamq – South Sudan

Nyashinski – Kenya

Darasa – Tanzania
 
Ya africa au east africa? Kina wizkid na davido watapewa tuzo zipi??
 
Back
Top Bottom