Diamond Platnum Ashinda Tunzo Msanii Bora Wa Mwaka East Africa | Afrimma Awards 2017

Mkuu niweke sawa kama nimekosea kashinda ya msanii bora wa mwaka au ni msanii bora wa kiume afrika mashariki..

Msanii bora wa kiume niliona kama kabeba davido vile..
 
Mkuu niweke sawa kama nimekosea kashinda ya msanii bora wa mwaka au ni msanii bora wa kiume afrika mashariki..

Msanii bora wa kiume niliona kama kabeba davido vile..
 
Hahaha basi kiba mia asubiri za east africa tv
 
Dah Kweli Bwana Tuzo Nyingne ..Safi sana Platnumz [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…