Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Amelewa sifa nacsasa anatumika na utawala....mkuu...amejisahau sana ....anafikiria ni nguvu zakeboekee....kukbe kuna mambo mengi saba plus bahati na na muda wake....right timing....Katika hali inayokera na kufedhehesha ni tabia ya mtu kujiona amefanikiwa kwa sababu anafanya kazi kuliko wengine wote, au wengine hawafanyi kazi kuliko yeye. Kufanikiwa hakupo hivyo hata kidogo na kama ingekuwa hivyo basi kanuni ya mafanikio ingekuwa rahisi sana.
Hakika, Mdogo wetu umekosea sana kuongea upumbavu ulioongea unaowabagaza siyo tu mashabiki wako ila hata wasiokushabikia, kibaya zaidi unaongea na kuhitimisha kwa tusi. Ni dharau ya kiwango cha juu sana umeionesha.
Kumbuka siyo wenye bidii sana ndiyo wanaofanikiwa, ila wakati na bahati huwapata wote. Punguza dharau maisha ni zaidi ya vitu, maisha ni utu. Unayemtukana hafanyi kazi akikueleza kazi zake inawezekana huwezi kufanya ila hajabahatika tu. Kubahatika kwako kusiwe fimbo ya kuuchapa Umma.
Kwanini unataka kutuaminisha kuwa unaimba au unafanyavkazi zako vizuri au kwa bidii sana kuliko wengine? Wakati tunafahamu wapo waliofanya vizuri sana tu ila bahati yao bado? Unataka kutuambia kuwa usanii wako(uimbaji wako) una jambo jipya saba la bidii kuliko wengine wote?
ACHA DHARAU.
Katukana Watanzania wote tusi la kihuni kabisa huyo dogoAmelewa sifa nacsasa anatumika na utawala....mkuu...amejisahau sana ....anafikiria ni nguvu zakeboekee....kukbe kuna mambo mengi saba plus bahati na na muda wake....right timing....
Noted Brethren,Wewe kama unapenda kazi zake nunua au sikiliza kazi zake Usitake kumpima kama Role Model a Political Correct Guy au Mtu mwenye Hekima na Busara....;
Kwahio binafsi Diamond tampima kila akitoa ngoma nzuri sababu akifanya hivyo hata hao waliopikiga kitaa kwa wanapata ahueni na furaha na kusahau masahibu yao.... In so doing badala ya kumlaumu Diamond laumu watunga Sera zaidi wanaofanya hao wanaopika kazi sana na hawapati their fair share... na wakati Kodi zao Serikali inachukua....
Conclusively Hard work does not Necessarily Pay Economically (lakini might Pay emotionally kwa mtu husika na conscious yake kujiona kwamba amekula jasho lake)
Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...www.jamiiforums.com