idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,284 Reaction score 38,364 Oct 11, 2015 #41 Hongera Diamond Mungu akuzidishie, maana ni humwibii mtu ni jasho lako halali.
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Oct 11, 2015 #42 Kingkiba kachukua tuzo ngapi?
Njou JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 753 Reaction score 342 Oct 11, 2015 #43 screpa said: Kingkiba kachukua tuzo ngapi? Click to expand... 😉😉😉😉😉😉
screpa said: Kingkiba kachukua tuzo ngapi? Click to expand... 😉😉😉😉😉😉
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Oct 12, 2015 #44 BansenBurner said: Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo? Click to expand... Swali la kwanza kujiuliza ni je walikaa nyumbani tu au walikuwa na ratiba zingine wakatuma wawakilishi. Hata msanii wetu huwa hahudhurii utoaji wa Tuzo zote.
BansenBurner said: Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo? Click to expand... Swali la kwanza kujiuliza ni je walikaa nyumbani tu au walikuwa na ratiba zingine wakatuma wawakilishi. Hata msanii wetu huwa hahudhurii utoaji wa Tuzo zote.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Oct 12, 2015 #45 BansenBurner said: Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo? Click to expand... Sijawahi kusikia hata wa North Africa
BansenBurner said: Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo? Click to expand... Sijawahi kusikia hata wa North Africa
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Oct 12, 2015 #46 Jamani nimempoteza mtu anaitwa Kimbley yeyote aliyemuona tafadhali atoe taarifa kwangu. #zawadinonoitatolewa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jamani nimempoteza mtu anaitwa Kimbley yeyote aliyemuona tafadhali atoe taarifa kwangu. #zawadinonoitatolewa.
M Marytina JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 9,585 Reaction score 7,766 Oct 12, 2015 #47 hah hahah kiba imekula kwake akamuombee magufuli amsaidie
I Isaacie Member Joined Aug 7, 2015 Posts 27 Reaction score 5 Oct 12, 2015 #48 Saf sana. Namkubal Diamond