Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Hongera Diamond Mungu akuzidishie, maana ni humwibii mtu ni jasho lako halali.
 
Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo?

Swali la kwanza kujiuliza ni je walikaa nyumbani tu au walikuwa na ratiba zingine wakatuma wawakilishi. Hata msanii wetu huwa hahudhurii utoaji wa Tuzo zote.
 
hah hahah kiba imekula kwake akamuombee magufuli amsaidie
 
Back
Top Bottom