Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
unnamed.jpg


Hakika huyu ni nembo ya Taifa na Afrika Mashariki, anazidi kutuwakilisha vizuri na leo ameshinda tuzo tatu.

-Best Male East Africa
-Best dance in a video- nana) ft. Mr. Flavour
-Artist of the year

Pia wimbo wa Alive alioshirikishwa na Brackets wa Nigeria umeshinda tuzo ya Afrimma Inspirational Song of the year

Kwa ushindi huo ndio mwanamuziki aliyeshinda tuzo nyingi zaidi, akifuatiwa na AKA aliyeshinda tuzo mbili, huku Davido, Wizkid, Vanessa Mdee wakichukuwa mojamoja kati ya wengi walioshinda.

========================

Hii ni orodha ya washindi.

Best Male (South Africa) – AKA
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee
Best Female (West Africa) – Yemi Alade
AFRIMMA Inspirational Song – Bracket feat. Tiwa Savage and Diamond Platnumz for ‘Alive'
Best DJ (US) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz
Best Collaboration – AKA feat. Da Les and Burna Boy for ‘All Eyes on Me'
Best Dance Video – Diamond Platnumz for ‘Nana'
Best Video – Wizkid for ‘Ojuelegba'
Artist of the Year – Diamond Platnumz
Legendary Award – Yossou N'Dou
 
Dogo tisha sanaaa...wale waliosema hawakupigii kura wajue kwamba ni wachache sanaaaaa..... Tuko wengi tunaokubali kazi zako. Kikubwa ni Kazi yako tu...inaonekana
 

Attachments

  • 1444548077156.jpg
    1444548077156.jpg
    67.1 KB · Views: 1,251
Hongera sana ila tatizo waipigia kampeni CCM
 
Wale wa ukawa njooni hapa mtukane
 

Attachments

  • 1444548426861.jpg
    1444548426861.jpg
    108.1 KB · Views: 1,045
Ali kibago uko wapi? na bado utanyoooooka tuuu.... hadi utampigia magoti chibu tangote
 
Ali kiba kaenda kushangaa Magorofa na kufanya shopping hahahaaaaaa
 
Lakini hivi kwanini wasanii wa nigeria na south Africa hawaudhurii hizi tuzo?
 
Mwaka Jana waliudhuria wengi cjajua kwann mwaka huu hawajaenda

Ok lkn ni aibu tuzo zetu za africa wanapotezea zile za US zinazoandaliwa na BET wanaenda wakipewa tuzo backstage wanalalama tu.
 
Dogo tisha sanaaa...wale waliosema hawakupigii kura wajue kwamba ni wachache sanaaaaa..... Tuko wengi tunaokubali kazi zako. Kikubwa ni Kazi yako tu...inaonekana

Mkuu kura za hizi tuzo zilianza kupigwa kabla ya kampeni za uchaguzi kuanza.. ni hayo tu
 
Back
Top Bottom