Diamond Platnums arudi kwa Tuddy Thomas

Diamond Platnums arudi kwa Tuddy Thomas

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Tudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer wake lakn still mkono wa Tudy ni wa mhimu sana kwenye nyimbo za mond , beat zenye ladha tamu kama, My number one Remix , Mdogo mdogo, Nasema nawe, I miss u, Utanipenda, Make me sing n.k tumezimis sana....

Ni ushaur tu , Simba afanye tena kazi na jamaa ili mashabiki zake tuzidi kuenjoy

images (6).jpeg

images (5).jpeg
 
thudy is th best, thats why skuiz mond nyimbo zake bit zinataka kufanana lizer bado sana
Bit zinafanana sana, tena wasanii wote wa WCB , lizer bado sana na pia kutoa idea ya utofaut kwa wasanii wote wa WCB kwa mtu mmoja ni ngumu, mwisho wa siku instrumental zinazotumika kwa mond ndo zinazotumika kwa monize nk
 
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
 
Hyo Kazi ni kupata umaarufu TU ndo Faida yake kwa hapa bongo.
Na isitoshe wasanii wa bongo wanaenda na upepo. Wakiona prodyuza fulani anatamba sasa wote wanahamia kwake.
Ndo maana lamar kaamua kujiajiri
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
 
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Daah hatar sana, ila mwana namwelewa sana aisee , huwa nasikiliza wimbo wa salima wa linex X Mond naona mdau alivyonyonga beat hadi raha , sema ndo hivyo kibongo bongo unaishia kulipwa hela ya kutengeneza mdundo, ila mdundo umeingiza kias gan, hulambi et
 
Write your reply....
tudd siku hizi bado anafanya kazi?
jamaa huwa ana vionjo vitamu sanaa sio huyu laizer naona siku hizi laizer anafanyaga mixing tu
 
Tudy sio producer wa diamond..

diamond anatumia watu wengi sana kila mtu anamlipa kwa makubaliano.. muajiriwa wa wcb ni lizer peke yake..

pia number 1 hakutengeneza tudy thomas.. alitengeneza shedy clever..

je utanipenda alitengeneza tudy..

mdogo mdogo alitengeneza shedy

mbagala alitengeneza bob junior

ukimwona alitengeneza manecky

sankoro alitengeneza nahreel..

diamond hamtegemei mtu mmoja kutengeneza nyimbo zake
 
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Maisha tu mkuu
 
Nina uhakika Mondi hana kizuizi chochote cha kufanya kazi na Tudy,ila Tudy kuzuizi anacho kwani hata Tudy anapenda kufanya kazi na Mondi,sometimes Mondi alikuwa anasafiri nae kama Sound Engineering wake.
Kwa taarifa yako: Tuddy Thomas ni WCB's Official Sound Engineer kwa miaka yote hii.

Nasisitiza: Miaka yote hii!
 
Tudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer wake lakn still mkono wa Tudy ni wa mhimu sana kwenye nyimbo za mond , beat zenye ladha tamu kama, My number one Remix , Mdogo mdogo, Nasema nawe, I miss u, Utanipenda, Make me sing n.k tumezimis sana....

Ni ushaur tu , Simba afanye tena kazi na jamaa ili mashabiki zake tuzidi kuenjoy

View attachment 1145193

View attachment 1145194
Diamond hajawahi kutoa ngumi kwa Tudy ika flop
 
Kwa taarifa yako: Tuddy Thomas ni WCB's Official Sound Engineer kwa miaka yote hii.

Nasisitiza: Miaka yote hii!

hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?

hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...

ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..

sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki

engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
 
Uvaali wa vijana wa Leo kiuno kimekua mapajan
 
Hahah hajui hata bernoul

Au first law ya thermodynamics
 
Mimi naona arudi kwa Manecky maana ukimuona ilikuwa hatari sana. Producer Manecky kwa beat za hisia ni habari nyingine.
Tetema katengeneza black q
 
Back
Top Bottom