Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Hivi kuwa msanii ni lazima suruali ivaliwe chini ya matako ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
kwahiyo ENG lazima awe ameiva hesabu na fizikia!!!hafanyi sound engineering.. anachofanya ni kupanga drums kwenye software za fruit loops, studio one etc kisha kimix na vocals..
hizo sizo duties za sound engineer.. google it uelewe zaidi?
hayo makampuni ya kutengeneza software za kuandaa beats wanaajiri sound engineers wawasaidie kuandaa sounds za beats.
yaani wewe upange base, drums, vocals, snare kwa software waliyotengeneza wanaume wenzako ujiite engineer.. acha uhuni ukitaka uwe engineer jifunze pysics kwanza upige pepa nzitoo
Sasa kwaio umekariri hio Sound Engineering inafundishwa COET? Wanaita College Of Engineering & Technology wakati wanatumia vitu outdated hakuna innovation yoyote ile bongo hakuna chuo kinafundisha Sound Engineering hio kozi ipo USA, UK, South Afrika na kimtindo Kenyahivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?
hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...
ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..
sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki
engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
Huna unachokijua definition ya Sound Engineer ni hii hapa chini kwa mujibu wa wikipediahafanyi sound engineering.. anachofanya ni kupanga drums kwenye software za fruit loops, studio one etc kisha kimix na vocals..
hizo sizo duties za sound engineer.. google it uelewe zaidi?
hayo makampuni ya kutengeneza software za kuandaa beats wanaajiri sound engineers wawasaidie kuandaa sounds za beats.
yaani wewe upange base, drums, vocals, snare kwa software waliyotengeneza wanaume wenzako ujiite engineer.. acha uhuni ukitaka uwe engineer jifunze pysics kwanza upige pepa nzitoo
Dah kumbee mambo yenyewe ndo haya👽dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
huyo jamaa ni kiraka aisee....ile nyimbo ni katika nyimbo za daimond ambazo zimekaa vizuri sana (kwa mtazamo wangu)....daahManeckey hitsong yake kwa mond ni ukimwona tu ambayo alivujisha ndo wakazinguana, ngoma kali af producer akairelease, alimharibia mahesabu kweli Mond....hyo song mpak leo ni demo, Mond akapiga chini hata kuitolea video japo ilitambaa sana kitaa
Kumbe Ndio jina lakeProducer Tudindwike Sanga
hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?