Bit zinafanana sana, tena wasanii wote wa WCB , lizer bado sana na pia kutoa idea ya utofaut kwa wasanii wote wa WCB kwa mtu mmoja ni ngumu, mwisho wa siku instrumental zinazotumika kwa mond ndo zinazotumika kwa monize nkthudy is th best, thats why skuiz mond nyimbo zake bit zinataka kufanana lizer bado sana
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Daah hatar sana, ila mwana namwelewa sana aisee , huwa nasikiliza wimbo wa salima wa linex X Mond naona mdau alivyonyonga beat hadi raha , sema ndo hivyo kibongo bongo unaishia kulipwa hela ya kutengeneza mdundo, ila mdundo umeingiza kias gan, hulambi etdah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Maisha tu mkuudah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Kwa taarifa yako: Tuddy Thomas ni WCB's Official Sound Engineer kwa miaka yote hii.Nina uhakika Mondi hana kizuizi chochote cha kufanya kazi na Tudy,ila Tudy kuzuizi anacho kwani hata Tudy anapenda kufanya kazi na Mondi,sometimes Mondi alikuwa anasafiri nae kama Sound Engineering wake.
Diamond hajawahi kutoa ngumi kwa Tudy ika flopTudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer wake lakn still mkono wa Tudy ni wa mhimu sana kwenye nyimbo za mond , beat zenye ladha tamu kama, My number one Remix , Mdogo mdogo, Nasema nawe, I miss u, Utanipenda, Make me sing n.k tumezimis sana....
Ni ushaur tu , Simba afanye tena kazi na jamaa ili mashabiki zake tuzidi kuenjoy
View attachment 1145193
View attachment 1145194
Kwa taarifa yako: Tuddy Thomas ni WCB's Official Sound Engineer kwa miaka yote hii.
Nasisitiza: Miaka yote hii!
Hahah hajui hata bernoulhivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?
hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...
ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..
sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki
engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer