Msanii Diamond Platnums usiku wa jana alifanikiwa kumbwaga chori chupke wa India bibie Priyanka Chopra na kuibuka na tuzo ya heshima kabisa matata kabisa ya Best world wide act. Jamanii huyu jamaa anaweza hadi anakera sasa...ndo nini hiv??? Haikuishia hapo bali mtvbaseafrica kupitia page yao ya instagram walimpongeza kijana wetu wenyewe mbongo kwa kusema HE MADE AFRICA PROUD. Ku summarise kila kitu ni kwamba kijana anajituma, ana bidii na anaweza. Team Diamond all the waaaaayyyyyy. KTMA MPO?😛oa