Diamond platnums the african music monster

Diamond platnums the african music monster

Tezralynn

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
87
Reaction score
64
Msanii Diamond Platnums usiku wa jana alifanikiwa kumbwaga chori chupke wa India bibie Priyanka Chopra na kuibuka na tuzo ya heshima kabisa matata kabisa ya Best world wide act. Jamanii huyu jamaa anaweza hadi anakera sasa...ndo nini hiv??? Haikuishia hapo bali mtvbaseafrica kupitia page yao ya instagram walimpongeza kijana wetu wenyewe mbongo kwa kusema HE MADE AFRICA PROUD. Ku summarise kila kitu ni kwamba kijana anajituma, ana bidii na anaweza. Team Diamond all the waaaaayyyyyy. KTMA MPO?😛oa
 
Noooooooooma sana!!

mpaka sasa ni diamond tu kila kona ya Afrika
 
Tuzo za pombe sio hadhi yake kabisa, kama alivoacha kupanda daladala alivyotoka kimuziki na kuhama tandale, nadhani kwasasa ni wazo zuri kutokumshushia heshima na hizi tuzo!!!
 
nifah my love... Njoo refresh akili huko
 
Last edited by a moderator:
Haija sikika hiyo imefunikwa na uchaguzi

Imesikika sana tu, japokuwa kwa Tanzania si kwa kiwango ambacho ilitakiwa kutokana na uchaguzi..

Ila Afrika kwa sasa ndio kitu kilichokiki kulikooo..

Neyo kutoka marekani kaona ukubwa wa tuzo kampost kumpa hongera, Swiz beats alicomment kwa diamo?d tena kwa kumuita "King na kuweka vi emoji vyake" hao ni watu wakubwa sana tena nje ya Afrika kutoka Marekani

Still waliojuwa kutoa pongezi AKA, YEMI ALADE, MMOJA WA MANAGER WA DAVIDO,
 
davido nae kaona asiachwe nyuma kapost instagram kummwagia sifa zake KING OF AFROPOP, yani ukijumlisha stress za uchaguzi, na chuki kwa diamond kuna watu wapo kwenye wakati mgumu sana Maombi yenu muhimu wadau!!
 
Back
Top Bottom