Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Tandale vyumba sh ngapi?nataka nichukue bodabodaAsante sana Naseeb, hii mitaji ni kheri utoe laki tano tano kwa watu 50. Mtaji wa laki moja ni pasua kichwa.
Tandale kuchele turudini kwetu Kwamtogole
Unataka chumba au bodaboda?Tandale vyumba sh ngapi?nataka nichukue bodaboda
Mimi nadhani angemsaidia baba yake mzazi kwanza ningeona anazo akili kichwani.
nataka bodaboda ila lazima kwanza niwe mkazi wa TandaleUnataka chumba au bodaboda?
Watakao kuwa qualified ni wale walioishi Tandale for the past one yearnataka bodaboda ila lazima kwanza niwe mkazi wa Tandale
Pia watu marketing na public relations tunaita hivo , ikiwa na lengo la ku create reputation , image na brand ya SIMBA[emoji95]Hii kitaalamu inaitwa Corporate Social Responsibility,watu wa social work wanaita Philanthropy. Ni kitendo kizuri na cha kuigwa
Baba yake wa nini kama hakumlea?.Hela ni yake,we usimpangie jinsi ya kutumia.We kama unampenda huyo babake mpe hela!Mimi nadhani angemsaidia baba yake mzazi kwanza ningeona anazo akili kichwani.
Aisee.. Nmekudharau sana.Mimi nadhani angemsaidia baba yake mzazi kwanza ningeona anazo akili kichwani.
Anaweza Mkuu:
Bima za Afya zinarange kati ya elfu 50 hadi elfu 84 kwa mwaka kwahiyo kwa watu 1000 ni Roughly 50m hadi 84m Avarage Tuweke 65m.
Mitaji ya kinamama laki moja kwa watu 200 maana yake ni 20m.
Bodaboda 20 Hiz Fekon/Skymark/San lG ni Avarage ya 1.5m kwa 20 Total ni mil 30
Kukarabati shule kata ya Tandale tukiassumue kama zipo nne au tano ,Tank za Litre 5000 kwa laki 5(Jumla 2m),Kupaka rangi shule hizo nne na kuchapia letsay kila shule mil 7.5 kwa shule nne au tano mil 30
Kwahiyo akiwa na 150m anaweza kufanya yote hayo.
Alipo mkataa alidhani nini mfyuuuu nae akapewe mtajiMimi nadhani angemsaidia baba yake mzazi kwanza ningeona anazo akili kichwani.