Diamond Platnumz aahidi kuwafanyia kufuru wanatandale

Diamond Platnumz aahidi kuwafanyia kufuru wanatandale

Daimondd
Screenshot_20181004-150122.jpg
 
Sipendagi miziki ya huyu jamaa,lakini kama anatimiza ahadi zote anazoahidi au angalau nusu ya ahadi naomba mungu amzidishie maisha na amuongezee kipato mara kumi ya alichonacho na ntaanza kumwita DON.
 
Hii kitaalamu inaitwa Corporate Social Responsibility,watu wa social work wanaita Philanthropy. Ni kitendo kizuri na cha kuigwa
Pia watu marketing na public relations tunaita hivo , ikiwa na lengo la ku create reputation , image na brand ya SIMBA[emoji95]
 
Ni mawazo mazuri mnooo kuwazwa na mtoto mdogo kama Diamond. Hongera sana dogo.

Hofu yangu kubwa ni kwenye management itakayoratibu hiyo kazi yote. Manake hii inabidi iwe kama foundation fulan hivi. Waweza kuwa na nia nzur sana Ila watendaji wakakuangusha sanaa. Wakapiga hela ww ukabaki mtupu. So jitahd sana kikosi kazi kiwe imara. Kiwe na watendaji waliobobea kwenye community development, vso na startup business management.
Huo ni ushauri wangu tuu.
 
From @diamondplatnumz
Leo zoezi la kuelekea kupewa Kadi za Afya, Mitaji, Ukarabati wa Shule na kadharika zilianza Tandale... Nawashkuru sana Familia yangu , Management pamoja na Kila alienyuma ya hili kuhakikisha tunalifanikisha kwa pamoja..... asante @resolutioninsurancetz @dcbbanktz cocacola @diamondkaranga kwa kungana nami kwenye hili... Tafadhali naomba kesho Msisahau kuungana nami pale Kiwanja cha Tandale Maguniani 🙏🏻 #AsanteTandale #ABoyFromTandale
 

Attachments

Hapo tayari ana ugomvi na wanasiasa wanaonyemelea na wanaotetea hilo jimbo,si ajabu watu wakaanza kuhimizwa kususia kazi zake kama ilivyo huko Iringa na bidhaa za ASAS. Subirini kuona kitakachoandikwa na gazeti la Mawio/Mwanahalisi kuanzia sasa.
 
Inaezekana
Anaweza Mkuu:

Bima za Afya zinarange kati ya elfu 50 hadi elfu 84 kwa mwaka kwahiyo kwa watu 1000 ni Roughly 50m hadi 84m Avarage Tuweke 65m.

Mitaji ya kinamama laki moja kwa watu 200 maana yake ni 20m.

Bodaboda 20 Hiz Fekon/Skymark/San lG ni Avarage ya 1.5m kwa 20 Total ni mil 30

Kukarabati shule kata ya Tandale tukiassumue kama zipo nne au tano ,Tank za Litre 5000 kwa laki 5(Jumla 2m),Kupaka rangi shule hizo nne na kuchapia letsay kila shule mil 7.5 kwa shule nne au tano mil 30

Kwahiyo akiwa na 150m anaweza kufanya yote hayo.
 
Back
Top Bottom