Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Si tu yeye kuwa mature lakini pia zari nae amekuwa mature kwa kukubali kuwa mwanaume siku zote atabaki kuwa mwanaume sio wakumvimbia au wa kushindana nae.
mnhhhh...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tu yeye kuwa mature lakini pia zari nae amekuwa mature kwa kukubali kuwa mwanaume siku zote atabaki kuwa mwanaume sio wakumvimbia au wa kushindana nae.
School fees inaingiaje ikiwa mama mtu analeta bifu kwa mzazi mwenza?School fees haziingii,lazima awe mature ama alale njaa
Huyo mama Ana mashule binafsi huko soza Africa na ndo chanzo Cha mapato,mashule yamefungwa,hell haingiiSchool fees inaingiaje ikiwa mama mtu analeta bifu kwa mzazi mwenza?
Hizo shule ameachiwa na Mume wake aliyefariki na sasa shule zimefungwa mapato hamna ndo anamkumbuka Diamond wakati mwanzo alikuwa anamletea kiburi Diamond ndo ajue mwanaume ana baki kuwa mwanaume na kamwe huwezi kushindana nae.Huyo mama Ana mashule binafsi huko soza Africa na ndo chanzo Cha mapato,mashule yamefungwa,hell haingii
Sio tu kwamba mapato hakuna bali inabidi ulipe wafanyakazi......Hizo shule ameachiwa na Mume wake aliyefariki na sasa shule zimefungwa mapato hamna ndo anamkumbuka Diamond wakati mwanzo alikuwa anamletea kiburi Diamond ndo ajue mwanaume ana baki kuwa mwanaume na kamwe huwezi kushindana nae.
2020 ulikua tight Sana. Karibu 2021Safi sana
Shule ya sumbawanga vipi?Jambo zuri ahadi Ni kutekeleza Nampa hongera kwa Hilo.
Mzee Duli Kama Nani?Charity begins at home aanze na mzee abdul kwanza haitaswihi kama mzee huyu ataendelea kuteseka