Diamond Platnumz aanza kutoa msaada wa kodi ya miezi 3 kwa kaya 500

Huyo mama Ana mashule binafsi huko soza Africa na ndo chanzo Cha mapato,mashule yamefungwa,hell haingii
Hizo shule ameachiwa na Mume wake aliyefariki na sasa shule zimefungwa mapato hamna ndo anamkumbuka Diamond wakati mwanzo alikuwa anamletea kiburi Diamond ndo ajue mwanaume ana baki kuwa mwanaume na kamwe huwezi kushindana nae.
 
Sio tu kwamba mapato hakuna bali inabidi ulipe wafanyakazi......
 
Wcb naona Meno yote nje

stidy
 
Charity begins at home aanze na mzee abdul kwanza haitaswihi kama mzee huyu ataendelea kuteseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…