Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
King kiba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soo sorry Rebeca 83 kwa kukukosoa kule nyuma......nimepata mantiki yako..link niliyokupa ni ya UK ndio,lakini magharibi wengi inafahamika ni ughaibuni,na nchi kibao zinaunda ughaibuni
Ningependa kujua hizo nchi nyingine zina deal vipi na mabazazi,
kwenye swala la kulipa maintenance unajidai ni sheria za uk,tusilifuate ila likija la unplanned pregnancy,unaniletea statistics za huko huko UK,
Acha ujanja janja,
Any way,hio sheria ya 70,000 kwa mnaoijua,ilianza lini?
mie nilisema hii ishu itamcost Dai's reputation,
some of his Fans hawatakua happy,kumuona anatoa elfu sabini kwa mtoto kwa wakati anaingiza millions
Kama hamjui hapo ndio mahakama inapoenda kutoa hukumu ya kulimpa 75,000/= kwa mwezi. Hizo ndio ghalama za mtoto kwa miaka saba . sasa Platinum atamuwekea mzigo wote wa miaka saba Pamoja na bima ya afya baada ya hapo tukutane baada ya miaka saba anavyokuja kumchukua mwanaeUzinzi mbaya sana
.. Hapo Atanyolewa mpaka ataelewa
Oh kama ni hivyo fureshiMkuu hiyo ni summons inatoka mahakamani ndivyo
zinavyokatwaga kuweka taarifa current
Duh! Typical clone of possible Hamisa's advisors!!!mbona nilisema mwanzo,kuwa atapewa hivyo vitu,ila atarudisha mtoto akiwa 18 years old,
umetoka mbali kweli mkuu,
kutoka mtoto utalipa akiwa na miezi mitatu,miezi tisa,mpaka kukubali kununua nyumba mtoto wako alelewe hahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Practically nyumba akipewa ni ya kwake hata kama ni for 18 years,tena afyonzeee for those years akimaliza amwachie gofu lake,lol
tafuta mwenyewe;is schedule1 for wealthy people only????
1. RED: Inaonesha hiyo clause is exclusively for wealthy!Schedule 1 is more or less exclusively used by the wealthy, since CMS take responsibility for the child’s needs up to a certain level of income. That said, often the wealth is unequally allocated between parents of a child, with one parent owning all or the vast majority of the assets.
Hahaaaa. Bora mumy umenisaidia kumjibu kwa sababu nilijikuta vidole vyangu vinagoma kuandika ambacho kingekuwa bora kwa yeye kuweza kunielewa.My dear usiwe unatafuta bifu kwa watu wapole kama emmyta. Alichoandika na ulichomjibu ni vitu viwili tofauti
Hahaaaa. Bora mumy umenisaidia kumjibu kwa sababu nilijikuta vidole vyangu vinagoma kuandika ambacho kingekuwa bora kwa yeye kuweza kunielewa.
Sababu sio kwa kukurupuka kule.
Hahaaaa. Ila kukaa kwangu kimya kumemfanya ajione alichokifanya sicho. Itakuwa ananijua chaupole hivyo akaamua aniamshie dude.Yaan bonge la mkurupuko,bora angekurupukia wapenda ubishi kama sie tuanzishe ligi yetu hapa.
Hahaaaa. Ila kukaa kwangu kimya kumemfanya ajione alichokifanya sicho. Itakuwa ananijua chaupole hivyo akaamua aniamshie dude.
Na angeingia kwenye anga zako sijui kama pangetosha hapa. Ila nimeshamsamehe bure.
Huyo aliyeandika hayo majina ana mwandiko kama wa chid benz....
Soon atarelease ngoma yake mpya aliyorekodi na Jeeei ziii.....Chichichichiccchiddd-Beeeeenz!
Unamaanisha KingKong-Chuma au TEJA?
Halafu wewe ni shida.
Jifunze mdogo wangu na ukishazowea hutakuwa na muda wa kuanza kubishana na wale wanaopenda kuchafua hali ya hewa.That is our emmyta unajua kusamehe haraka,ntajifunza toka kwako ili kupunguza ligi ndogo ndogo
Hapa kwetu ni 70000 ndio halali yke,humu jf kuna wanasheria hebu wasome vizuri uelewe....dada yangu inaonekana unamahaba na incubator wa tandikasoma huo mtandao niliokupa,ukipata muda mmnh,mama anapewa house,car na holiday allowances,YAAANI WEWE NIMEKUWEKEA LINK NA BADO UNAANDIKA UPUUZI,NATOKA RASMI KWENYE KOMBE LA KUGOMBEA MBUZI,KWA HERI....
Jifunze mdogo wangu na ukishazowea hutakuwa na muda wa kuanza kubishana na wale wanaopenda kuchafua hali ya hewa.
we jamaa sijui unafukiria nini au unaugomvi na chidHuyo aliyeandika hayo majina ana mwandiko kama wa chid benz....