mbona nilisema mwanzo,kuwa atapewa hivyo vitu,ila atarudisha mtoto akiwa 18 years old,
umetoka mbali kweli mkuu,
kutoka mtoto utalipa akiwa na miezi mitatu,miezi tisa,mpaka kukubali kununua nyumba mtoto wako alelewe hahahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Practically nyumba akipewa ni ya kwake hata kama ni for 18 years,tena afyonzeee for those years akimaliza amwachie gofu lake,lol
tafuta mwenyewe;is schedule1 for wealthy people only????
Duh! Typical clone of possible Hamisa's advisors!!!
Eti nimetoka kwenye kulipa miezi 3 hadi kukubali kununua nyumba!! Nimegundua tatizo lako lingine ni usahalifu au kutokuwa makini!!
Hapa tulikuwa tunazungumzia Tanzania na wewe ukadai mama anatakiwa kulipwa! Nikakuambia hakuna kitu kama hicho! Ukasema mama lazima alipwe kwa sababu analea full time!
Hapo ndipo nikakuambia kama ndivyo, basi sema alipwe miezi 3 kwa sababu, kisheria, hata kama ameajiriwa anapewa full paid 3 months maternity leave!!! Which means, sheria inatambua mama anatakiwa kutoa full time child care for 3 months!!
Sasa kwako wewe hiyo ni kwamba nimetoka kwenye miezi 3 hadi miaka 18? Serious?
AGAIN & AGAIN narudia, hiyo sheria ya nyumba not for every case! Only if kama mlikuwa mnaishi pamoja na hilo nimesema tangu awali and one of the parent is more wealth.
Usiwe una-Google ref na kuishia kusoma heading na outlines peke yake! Ungesoma source yako mwenyewe hivi ndivyo inasema:
Schedule 1 is more or less exclusively used by the wealthy, since CMS take responsibility for the child’s needs up to a certain level of income. That said, often the wealth is unequally allocated between parents of a child, with one parent owning all or the vast majority of the assets.
1.
RED: Inaonesha hiyo clause is exclusively for wealthy!
2.
GREEN: Hapo wanakuambia wazi kwamba CMS's responsibility ni child's needs up to a certain level of incomee ambayo ina-determine basic child living needs.
Lakini kama mzazi ana uwezo wa ku-offer beyond basic needs (as per RED) ndipo unakuja kutumia Schedule 1.
3.
BLUE: Hao wazazi walikuwa wanaishi pamoja, married or committed to each other na mmoja wa hao wazazi ni wealth than another. Au inawezekana utajiri wao ni wa pamoja lakini mzazi ana percentage kubwa sana kuliko mwingine.
Assume Jackline Mengi na Mzee Mengi!
Sasa wazazi kama hao wanapotengana na yule ambae ni less wealth ndie mwenye child custodianship, hapo ndipo Schedule 1 INAWEZA kutumika baada ya kufanya application!
Lakini sio mmekutana disco, mmeanzisha uhusiano lakini kila mtu anaishi kwake kisha unapigwa mimba unadai ujengewe nyumba!! Hakuna kitu kama hicho!!
Narudia, soma ulichoweka mwenyewe! Lakini sio kusoma tu bali unatakiwa kuelewa ulichokisoma!!!
Or, to make it simple, wewe si mwanamke bhana! Go and seduce a richman upate mtoto halafu usubirie kujengewa nyumba kama hujaishia kupata 70K za child support!!! But to be more smart kabla hujafanya hivyo, kwanza muulize Faiza Ally nyumba aliyojengewa na Sugu for child support ipo mtaa gani!!!