robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
Kumekucha tena
Sema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
Hamisa anazitafuta milioni tano kwa mwezi. Ila haya mambo ya kulazimisha vitu mwisho wake huwa si mnzuri hata kidogo. Pamoja na kwamba matunzo ni haki ya mtoto ila nachokiona Hamisa anazidi kujidhalilisha tu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Unapenda kuwa wakwanza ayseee [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nipite tu ila njaa mbaya sana
Huyo aliyeandika hayo majina ana mwandiko kama wa chid benz....
Shughuli yake ndio hiyoSema huyo manzi Hamisa ana njaa kali sana, yaan yeye timing yake ni kuzaa na wenye pesa tu, hana shughuli maalum mjin
Ulitaka habari gani brother au za wasanii wa Chadema?Aibu Kwa Jamii Forums Kuweka Habari kama Hizi.
Sodoka kmbe upo badomwache anajidai kuandika kingereza kumbe hajui,,, eti its look ha haaaa
Do you posses any kind of legal knowledge????Who drafted this document ? its look like inefective to me
IG kutawaka moto.kuanzia kesho ni full kupika