white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Kwani wamekwambia ni kodi inayotokana na vitu anavyomiriki?!!!! Kuna aina nyingi za kodi ungetakiwa kwanza kuuliza ni kodi ya aina gani ndio ungefikia kwenye hilo uliloandika!ana miliki nini na nini mpaka iwe ml 400
yah atakua amesha pata mwanzo alwayz unakuaga mgumu atasolve tuDiamond anachitakiwa kuwa nacho ni kuwa na mshauri wa kodi. Atamsaidia mengi badala ya kulalamika. Ukijipanga vema kodi inalipika.
Safi sana kamanda lakini Mbowe yeye akidaiwa tu ni visasi anaonewadawa ya deni ni kulipa.
Safi sana kamanda lakini Mbowe yeye akidaiwa tu ni visasi anaonewa
Payee za wafanyakazi wa CHADEMAMbowe akidaiwa alipe, dawa ya deni ni kulipa.
nani mwingine anadaiwa??
Kama hakwepi kodi mbona anadaiwa sasa?perfume moja ya Chibu sh 105,000 akiuza perfume elfu kumi anakua ina pato la sh bilioni 1.05
Anauza nyimbo wasafi.com sh 300 akiuza nyimbo 1,000,000 anakua na pato la sh 300,000,000
anafanya biashara za matangazo na Vodacom,cocacola,GSM etc
Bado unauliza inakuaje anadaiwa deni hilo
Pia kikubwa kijana yuko Legit vitu vyake vyote vinajulikana kisheria sio kama wabongo fleva wengine wanakwepa kilipa kodi
Payee za wafanyakazi wa CHADEMA
Akupe kodi bana raha uilipie sio wanaendesha mandinga nakusahau lips kodiCorrect asante
Kama wale masikini waandishi wa Uhuru publication waliokuwa WANADAI mishahara miezi 7 mpaka wananyimwa unyumba home, kweli ccm ilipaswa kujua dawa ya deni kulipa sio kusubiri mpaka Sizonje aje atoe amri ya kulipa.Payee za wafanyakazi wa CHADEMA
Ulitoa au mboyoyo tu ? kama zimeliwa mbona waliochanga wako kmya ?haya.
Rambirambi za Bukoba nazo mlizokula mlipe.
Kwani wale wafanyakazi wa Tanzania Daima wao washalipwa madeni ya mishahara 4 au mliwatumia ?Kama wale masikini waandishi wa Uhuru publication waliokuwa WANADAI mishahara miezi 7 mpaka wananyimwa unyumba home, kweli ccm ilipaswa kujua dawa ya deni kulipa sio kusubiri mpaka Sizonje aje atoe amri ya kulipa.
Mbowe anaonewa.dawa ya deni ni kulipa.
Anahitaji business management professional kwa mahali alipofika,ulipaji wa kodi ni jukumu lake lkn ni suala la kitaalamu zaidi vinginevyo ataona km TRA wanamnyanyasa
Yaani kilichoandikwa ndani tofauti kabisa na kichwa cha habari kinavyomaanisha . Haya sasa mkimaliza kushangaa hilo huku mtaani kwetu RAIS kafumaniwa.
yah atakua amesha pata mwanzo alwayz unakuaga mgumu atasolve tu
Mbowe anaonewa.