Diamond Platnumz afanya kufuru

Diamond Platnumz afanya kufuru

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Diamond Platnumz ,Chibu dangote , Simba adhihirisha usimba wake kwa kufanya show kali sana ambayo haijawahi kutokea nchini kenya tangu ipate uhuru



1473579660952.png






1473579673314.png






1473579684418.png
 
Kwa kideo subscribe akaunti yake YouTube akiweka unaserebuka
 
Katumwa kutafuta mpunga hauzi sura chibu hongera life begins at 40 tutakutana huko dogo heshima itafuata mkondo, wenye kulima tulime wenye kuimba imbeni na mziki uwalipe sio mapovu ya mashabiki nyuma ya pazia hali tete, tukutane 40above wasalaam!
 
Back
Top Bottom