Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa TSh. Miloni 374 kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika, amchana Willy Paul "ananitengenezea ubaya"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz afichua kuwa alilipwa dola 150k sawa na TSh. Miloni 374 (373,554,903) kutumbuiza nchini Kenya katika show iliyovurugika mwisho wa wiki.

Taarifa hii imekuja wakati akijibu madai kwamba alihusika katika kumzuia msanii wa Kenya, Willy Paul, kupanda jukwaani wakati wa tamasha la Furaha Festival.

Soma, Pia: Ujinga alioufanya msanii Willy Paul jana dhidi ya wasanii wa Tanzania ukemewe vikali

Diamond ameeleza kuwa hakuhusika na suala hilo, akisisitiza kuwa yeye alifuata ratiba yake ya kazi na hakukuwa na sababu ya kuzuia msanii mwingine kuonyesha kipaji chake. Madai haya yamezua gumzo mitandaoni, huku mashabiki wakitoa maoni tofauti kuhusu tukio hilo.
Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…