Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"
Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Yupo sahihi ukiangalia anaoshindanishwa nao nyimbo zao nyingi zinaishia Tanzania wakijitahidi Sana East Africa lakini yeye nyimbo zake zinafika sehemu nyingi duniani na ndio kila tuzo kubwa zinazotolewa.
Kwenye kipengele cha best African artist utakuta yupo pekee yake kwa East Africa akishindana na wasanii wa west Africa mwaka Jana tu kawa nominated kwenye Tuzo ya BET hakuna mtanzania hata mmoja zaidi yake.
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
we mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi Marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
ππππ looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
ππππ looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Yupo sahihi ukiangalia anaoshindanishwa nao nyimbo zao nyingi zinaishia Tanzania wakijitahidi Sana East Africa lakini yeye nyimbo zake zinafika sehemu nyingi duniani na ndio kila tuzo kubwa zinazotolewa kwenye kipengele cha best African artist utakuta yupo pekee yake kwa East Africa akishindana na wasanii wa west Africa mwaka Jana tu kawa nominated kwenye Tuzo ya BET hakuna mtanzania hata mmoja zaidi yake.