Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kulinganisha nini?
Pesa / Brand / talent / utunzi au Popularity?
Unaweza ukawa msanii hauna pesa ila una talent, unaweza ukawa una talent ila hauna fanbase kubwa
Haya mambo sometimes ni subjective, kwahio ukiyapima kwa metrics tofauti unaweza kuona hata muimba mchiriku pale mtaa wa pili anawazidi wote hawa kutokana na mapenzi ya mtu husika anayepima...
Food for Thought hapo Mzee Yusuf unaweza kumuweka wapi?
Utagundua kwamba sometimes kulinganisha machungwa na sungwi kuna ugumu wake ila haimaanishi yote sio matunda na yote hayana ubora tofauti
Monetary accomplishment sio kipimo pekee