Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Kulinganisha nini?

Pesa / Brand / talent / utunzi au Popularity?

Unaweza ukawa msanii hauna pesa ila una talent, unaweza ukawa una talent ila hauna fanbase kubwa

Haya mambo sometimes ni subjective, kwahio ukiyapima kwa metrics tofauti unaweza kuona hata muimba mchiriku pale mtaa wa pili anawazidi wote hawa kutokana na mapenzi ya mtu husika anayepima...

Food for Thought hapo Mzee Yusuf unaweza kumuweka wapi?

Utagundua kwamba sometimes kulinganisha machungwa na sungwi kuna ugumu wake ila haimaanishi yote sio matunda na yote hayana ubora tofauti

Monetary accomplishment sio kipimo pekee
 
Yupo sahihi ukiangalia anaoshindanishwa nao nyimbo zao nyingi zinaishia Tanzania wakijitahidi Sana East Africa lakini yeye nyimbo zake zinafika sehemu nyingi duniani na ndio kila tuzo kubwa zinazotolewa kwenye kipengele cha best African artist utakuta yupo pekee yake kwa East Africa akishindana na wasanii wa west Africa mwaka Jana tu kawa nominated kwenye Tuzo ya BET hakuna mtanzania hata mmoja zaidi yake.
Sawa ndiyo ameshatoboa kwa East Africa, lakin awape support watz wenzake nao watoke mbona Nigeria wanabebana sana!!
 
Hii ni interview au kichambo duh!
Jamaa anajibrag mpaka anadanganya, mbaya zaidi anakandia wengine hapo u proffesional wake uko wapi?

Hivi wasanii top 3 Africa naye yumo anatuonaje lakini?
Hata maswali ya kuuliza alisha wapangia[emoji38][emoji38]
 
kizuri ni kizuri tu. ni rahisi sana kukuta tangazo la Toyota kwenye tv kuliko kuona tangazo la Lamborghini. kiufupi ni mimi napenda muziki uwe mzuri wewe nakuachi izo sijui brand za muziki wa kitoto
Hicho ulichozungumza ndio maana wasanii wengi wa zamani kilichowafelisha kuwa na hela nyingi mziki unahitaji investment ya Muziki, promotion n.k hivi umewahi kuwafuatilia wanamziki wakubwa wa USA wanavyofanya?
 
Kulinganisha nini ?

Pesa / Brand / talent / utunzi au Popularity ?

Unaweza ukawa msanii hauna pesa ila una talent, unaweza ukawa una talent ila hauna fanbase kubwa

Haya mambo sometimes ni subjective, kwahio ukiyapima kwa metrics tofauti unaweza kuona hata muimba mchiriku pale mtaa wa pili anawazidi wote hawa kutokana na mapenzi ya mtu husika anayepima...

Food for Thought hapo Mzee Yusuf unaweza kumuweka wapi ?

Utagundua kwamba sometimes kulinganisha machungwa na sungwi kuna ugumu wake ila haimaanishi yote sio matunda na yote hayana ubora tofauti

Monetary accomplishment sio kipimo pekee
Hapa kinachozungumza full package ya msanii
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"

Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana,,, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views,,, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"

Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Eti kuidhalilisha Nchi mwe mwe mwe😬
 
Bila kulinganishwa na watu unaupataje huo ubora sasa ata kama yeye bora kuliko wenzako bado ushindani na kushindanishwa kupo pale pale ,kuna mtu na ndio maana ata yeye anashindwanishwa na wasanii wakubwa zaid yake ni kawaida kuwa tajir au maarufu ni jambo la muda na wakat haikupi uhalali wa kuwa dunia yako ,Manchester united ina kila kitu lkn inafka mahal inashindanishwa na timu mshahara wa ronaldo unalipa ad wafanyakaz na ikabak ,yote kwa yote kwa kaur kama hii kutoka kwa mtu kama yeye kuna sehem kashikwa asa asa ktk muzik
 
Yeye anachopinga ni kupambananishwa na wasanii ambao hawapo kwenye level yake mziki wake utakuaje ikiwa anashindanishwa na msanii ambaye huyo msanii hayupo hata kwenye wasanii 100 Bora wa African wakati yeye yupo kwenye top 3 ya wa wasanii Bora wa Africa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hapa kinachozungumza full package ya msanii

Atapangiaje mlinganishaji ? Kama mimi ndio mlinganishaji naweza kusema Marioo anamzidi Diamond katika Utunzi..., sasa hapo utasema nimekosea sababu Marioo hana Media ?

Au sababu Mbaraka Mwishehe akuwahi kuwa tajiri mkubwa basi sio Mkongwe ?

Diamond is Talented and Bright na nadhani hii ni tongue in cheek na ku-rough a few feathers
 
Hicho ulichozungumza ndio maana wasanii wengi wa zamani kilichowafelisha kuwa na hela nyingi mziki unahitaji investment ya Muziki, promotion n.k hivi umewahi kuwafuatilia wanamziki wakubwa wa USA wanavyofanya?
Siniambie mambo ya US wakati tunazungumzia muziki wa Tanzania hizo nyimbo zenu big g sikilizeni nyie sisi tunasikiliza muziki unaoishi
 
Bila kulinganishwa na watu unaupataje huo ubora sasa ata kama yeye bora kuliko wenzako bado ushindani na kushindanishwa kupo pale pale ,kuna mtu na ndio maana ata yeye anashindwanishwa na wasanii wakubwa zaid yake ni kawaida kuwa tajir au maarufu ni jambo la muda na wakat haikupi uhalali wa kuwa dunia yako ,Manchester united ina kila kitu lkn inafka mahal inashindanishwa na timu mshahara wa ronaldo unalipa ad wafanyakaz na ikabak ,yote kwa yote kwa kaur kama hii kutoka kwa mtu kama yeye kuna sehem kashikwa asa asa ktk muzik
Hii inanipa picha pia kuhusu lile tukio jingine la bondia namba moja nchini kama anavojinasibu yeye, bwana Mwakinyo kukataa mpambano na twaha kiduku sabab ya kulinda brand yake isishuke. Hili naliona kwa mondi nae kukataa tuzo za ndani anataka kulinda brand yake sababu ikitokea akakosa tuzo kama ya msanii bora wa mwaka kwa Tanzania, hii inaweza kumuharibia kiasi fulani kwa tuzo za nje.
 
Back
Top Bottom