Sipingi kwamba Diamond sio msanii namba 3, ila mkuu hebu ata wewe ujiulize kwahiyo ukiambiwa utaje wasanii 10 Bora Africa huyo show majdozi unamtaja? Au
Mkuu mbona kichwa chako Cha habari kinakinzana na BBC? BBC wanasema wasanii wa kuangaliwa mwaka 2021, Yani Kwa lugha nyepesi ni best upcoming artist ila wewe unatuandikia kuwa wasanii maarufu zaidi 10 wa Africa"Who are the top 10 most famous African singers 2021?
Ten African music stars to look out for in 2021 1 Elaine (South Africa) 2 Fik Fameica (Uganda) 3 Gaz Mawete (Democratic Republic of Congo) 4 Kabza De Small (South Africa) 5 KiDi (Ghana) 6 Omah Lay (Nigeria) 7 Sha Sha (Zimbabwe) 8 Soraia Ramos (Cape Verde) 9 Tems (Nigeria) 10 Zuchu (Tanzania)
Ten African music stars to look out for in 2021 - BBC News
Mwaka Jana tu Diamond kama nominated kwenye Tuzo kubwa za BET kwenye kipengele Cha msanii Bora wa Africa akiwa sambamba na Burnaboy na Wizkid Hili umeshasahau? Hii inaonesha jinsi gani hamuwaheshimu wasanii wenu wa ndani hata wakiwa wanafanya vizuri.Mwaka Huu tu diamond aliteuliwa kufanya performance ya Grammy spin na kuwa msanii wa kwanza kwa east africa kuperform kwenye hiyo platform unavyoniambia kabebwa na mafanikio ya 2016-2018 na kuwa na doubt hata na ufuatiliaji wako wa mziki kiujumlaSipingi kwamba Diamond sio msanii namba 3, ila mkuu hebu ata wewe ujiulize kwahiyo ukiambiwa utaje wasanii 10 Bora Africa huyo show majdozi unamtaja? Au
Kuna list zingine zinatoka hazina kichwa Wala Miguu, wasanii waliokaa hapo wengi wao kilichowaweka hapo ni mafanikio ya tuzo walizopata miaka ya nyuma
Ndugu yetu Diamond yupo hapo kutokana na zile tuzo za Mtv base alizokuwa anazoa miaka ya 2016-2018 na sio kwamba kafanya vizuri miaka ya hivi karibuni, na ata hao akina 2face,Ipupa,Savage,Yemi alade ni history za 3 yrs previously Ndio zimewaweka hapo
Ila tukija kwenye uhalisia Kwa hii miaka 3 Kwa kazi tu hao wizkid na burnaboy walipaswa kushika wao nafasi ya kwanza Hadi ya Tano Kisha akafatia Davido then ndio wasanii wengine, Kwa miaka hii 3 Mondi mafanikio makubwa ameyapata kwenye biashara na sio kazi yake, hao Jamaa wamemuacha mbali sana hivi Sasa
Anyway, me Bado najiuliza huyo show majdozi aliemuweka hapo kazingatia Nini? Yani kama huyo yupo hapo ata Rayvany alitakiwa kuwa top 10 Sasa maana haiingii Akilini kumweka huyo dada katika wasanii 10 Bora Africa na hiyo List tukaichukulia serious
Yupo sawa,Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"
Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Hivi kila msanii mkongwe napaswa afungue media kumbe, sikujua hili.Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na wasanii wa Tanzania ni kuwaonea hao wasanii, kwa maana hawaniwezi, sababu mimi kwanza nna talent najijua kabisa, nna pesa ya promotion, nnajua kucheza, kuvaa, kujulikana, kwanza nna media nnaweza kufanya siku nzima zinasikika kazi zangu tu, nna mashabiki wengi, nna numbers, views, kwa hapa Africa mimi ni msanii namba tatu kwa ubora, Africa nzima mimi ni namba tatu, google uone? sasa kua namba tatu utanilinganisha na hawa wasanii wenu ambao hawapo ata top 100?"
Diamond Platnumz "kunilinganisha mimi na hawa wasanii wenu ni kunikosea adabu mimi, mziki hadi watoto wangu, wasanii wenyewe mnaonishindanisha nao nnawazidi kila kitu kila kitu hadhi dhambi nawazidi, kwaio sio sawa ni kuidhalilisha nchi".
Mwaka Jana tu Diamond kama nominated kwenye Tuzo kubwa za BET kwenye kipengele Cha msanii Bora wa Africa akiwa sambamba na Burnaboy na Wizkid Hili umeshasahau? Hii inaonesha jinsi gani hamuwaheshimu wasanii wenu wa ndani hata wakiwa wanafanya vizuri.Mwaka Huu tu diamond aliteuliwa kufanya performance ya Grammy spin na kuwa msanii wa kwanza kwa east africa kuperform kwenye hiyo platform unavyoniambia kabebwa na mafanikio ya 2016-2018 na kuwa na doubt hata na ufuatiliaji wako wa mziki kiujumla
Eyce naona umetoa maelezo ambayo ni tofauti na sababu aliyotoa Diamond majaji wanahusikaa na hizo Tuzo ni watangazaji wa clouds, efm na east africa ambao hawapigi nyimbo zake ukiachana tu naivyo ni msanii ambaye hajapewa mrabaha na akasema kama hawajampa mrabaha ndio watampa hizo tuzo? Diamond alichoonyesha hizo tuzo hazipo kwenye system ya haki ndio maana kazisusia akauliza Tena msanii kama marioo ngoma zake zimechezwa karibia radio zote na mtaani lakini Cha ajabu hayupo kwenye list ya waliopata mrabahaTuzo zinaangalia performance bro sio jina lako.. Kama tuzo ni za ndani tunaangalia performance yako ya ndani, wewe nyimbo kufanya vizuri huko nje sababu ushapata fan base ya huko haimaanishi wewe hustahili local competition
Kwanza Diamond mara ya mwisho lini kutoa national anthem kama Muziki ya darasa, Iokote ya Maua sama au Sukari ya msanii wake mwenyewe Zuchu
Hiyo ikuoneshe Tu kuwa soko limeamua kuwa nyimbo zake bado kuna watu wanazipita kwa kukubalika hivyo, zinastahili kukaa category moja na wasanii wenzake
wewe kwa maelezo yako unaonekana ni hater tu na humkubali huyu kijana. Muda ni jibu tosha kwako, ngoja siku ziende utaelewa kuwa huyu kijana ni fighterMkuu me ni kijana kama alivo Diamond na Naheshimu sana kazi Zake na hustling yake, we achana na hayo mambo ya nominations hayana uhalisia, ndomana Kuna mwaka Kiba alibeba tuzo ya Mtv ema mbele ya wizkid
Wizkid alikuwa hataki ata kuziskia tuzo za Mtv base na alikuwa ata akiwa kwenye nominations haendi na wala hapost cover kuomba kura Kwa sababu anajua mambo ya tuzo Yana ukiritimba mwingi
Tuache unafki na tuongee ukweli Wakati Diamond anakuwa nominated kwenye tuzo za BET category Moja na wizkid na burnaboy, Kwa moto ambao hao jamaa wameuwasha huyu Ndugu yetu Diamond alikuwa na ngoma Gani iliyomfanya akae pamoja na hao jamaa?
Unaongelea kufanya performance ya Grammy spin kuwa aliteuliwa? Ndugu Yangu hizo nafasi wanachekecha mameneja wanavyojua wao, na sio kwamba from no where tu anateuliwa msanii, hizo mambo ni sawa na kuandaa michuano ya Kombe la Africa, you have to fight for it
Wasanii kama kina wizkid wao mziki wao Ndio unawapeleka huko unyamwezini, unadhani diamond nae hizi GidiGidi Ndio zitamfikisha huko? Jamaa anajua kutumia opportunity, kaona kufika huko kwa mziki it's kinda harder, kaona afaiti kupata coverage kupitia hiyo performance na yeye anajua target yake ni nini
Naungana na wewewewe kwa maelezo yako unaonekana ni hater tu na humkubali huyu kijana. Muda ni jibu tosha kwako, ngoja siku ziende utaelewa kuwa huyu kijana ni fighter
Ulichonijibu imeonesha kabisa una wivu pia ni hater wake kitu ambacho umeshindwa kujifichaMkuu me ni kijana kama alivo Diamond na Naheshimu sana kazi Zake na hustling yake, we achana na hayo mambo ya nominations hayana uhalisia, ndomana Kuna mwaka Kiba alibeba tuzo ya Mtv ema mbele ya wizkid
Wizkid alikuwa hataki ata kuziskia tuzo za Mtv base na alikuwa ata akiwa kwenye nominations haendi na wala hapost cover kuomba kura Kwa sababu anajua mambo ya tuzo Yana ukiritimba mwingi
Tuache unafki na tuongee ukweli Wakati Diamond anakuwa nominated kwenye tuzo za BET category Moja na wizkid na burnaboy, Kwa moto ambao hao jamaa wameuwasha huyu Ndugu yetu Diamond alikuwa na ngoma Gani iliyomfanya akae pamoja na hao jamaa?
Unaongelea kufanya performance ya Grammy spin kuwa aliteuliwa? Ndugu Yangu hizo nafasi wanachekecha mameneja wanavyojua wao, na sio kwamba from no where tu anateuliwa msanii, hizo mambo ni sawa na kuandaa michuano ya Kombe la Africa, you have to fight for it
Wasanii kama kina wizkid wao mziki wao Ndio unawapeleka huko unyamwezini, unadhani diamond nae hizi GidiGidi Ndio zitamfikisha huko? Jamaa anajua kutumia opportunity, kaona kufika huko kwa mziki it's kinda harder, kaona afaiti kupata coverage kupitia hiyo performance na yeye anajua target yake ni nini
Hata mtaani kwako haujulikaniY
Yeahh am the one
[emoji3][emoji3][emoji3]Stem player
Music stars to look out for = Upcoming starsWho are the top 10 most famous African singers 2021?
Ten African music stars to look out for in 2021 1 Elaine (South Africa) 2 Fik Fameica (Uganda) 3 Gaz Mawete (Democratic Republic of Congo) 4 Kabza De Small (South Africa) 5 KiDi (Ghana) 6 Omah Lay (Nigeria) 7 Sha Sha (Zimbabwe) 8 Soraia Ramos (Cape Verde) 9 Tems (Nigeria) 10 Zuchu (Tanzania)
Ten African music stars to look out for in 2021 - BBC News
Nick alizigomea BET na hata familia nzima ya cash money baada ya BET kutumia official page yao kumdhihaki Nick baada ya kushindwa na Cardi B katika Grammy Awards. Pia Grammy Awards zishawahi kuwa boycotted mara nyingi sababu ya kuonekana kama zina ubaguzi kwa black artists kutokana na process zakeHuyo Drake na The Weekend wamezigomea tuzo bora za music Grammy naona kwa wenzetu ni kawaida. Kama sikosei kuna wakati Nicki Minaj aliwatisha Hot 97 radio wasicheze nyimbo zake.
Kwa wenzetu ni kawaida kama hakiona hajalizika na michakato ya tuzo anaweza akawazuia wasimchague katika hizo tuzo.
Eyce naona umetoa maelezo ambayo ni tofauti na sababu aliyotoa Diamond majaji wanahusikaa na hizo Tuzo ni watangazaji wa clouds, efm na east africa ambao hawapigi nyimbo zake ukiachana tu naivyo ni msanii ambaye hajapewa mrabaha na akasema kama hawajampa mrabaha ndio watampa hizo tuzo? Diamond alichoonyesha hizo tuzo hazipo kwenye system ya haki ndio maana kazisusia akauliza Tena msanii kama marioo ngoma zake zimechezwa karibia radio zote na mtaani lakini Cha ajabu hayupo kwenye list ya waliopata mrabaha
Jibu langu lilikuwa kwenye context ya comment ya huyo niliyemquote mkuu. Diamond akigoma kuchukua tuzo ni ha ki yake na hatokuwa wa kwanza maana hata dully alizigomea kili music awardsYy hatak kwasababu ya ukiritimba uliopo kwenye hizo tuzo, na si kwamba amedharau uwezo wa wasanii wengine. Hivyo kuzikataa sioni shida wale waliotayar washindane tu.
Mkuu naomba nipinge Kwa Hoja, haiwezekani Kila kitu ukubali ndio uonekane unakubali juhudi za mtu flani, kwahiyo ukiwa sio hater ndio Kila kitu unakubali?Ulichonijibu imeonesha kabisa una wivu pia ni hater wake kitu ambacho umeshindwa kujificha