Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

iyo promotion gani unayozungumzia?,
Je amepiga media tour ngapi na kwenye tv na radio zipi, amefanya shows au matamasha mangapi, ameenda sehemu au nchi ngapi kutangaza iyo EP mpaka useme amewekeza kufanya promotion ya kazi zake. Jaribu kutofautisha kutangaza kazi na kufanya stunts/kiki coz asilimia kubwa ni wanafanya kiki sio kutangaza
Ep haina hata wiki na unataka afanye yote hayo. You can't be serious man.
 
Kwanza umeanza na Chuki zako binafsi ungetumia jina lake halisi "Abdul nassib" badala ya hilo "Domo" huenda ungekuwa na Hoja..
Lakini inavyoonekana wengi wenu ni wanufaika wa kutusi na kukashfu ili mpate umaarufu ama pesa!
Hoja za Diamond platnumz kuhusu Tuzo za Tanzania ziko wazi sana kama umemsikiliza kwa makini..
Leo hii nashangaa sana Diamond hataki tena kuwekwa kwenye tuzo za nchini kwao na amesahau kwamba tuzo hizo zilimtangaza kwa namna moja au nyingine.

Naona Domo amekuwa mshamba sana na amejisahau sana.

Kuwazidi wasanii wenzio mafanikio sio kwamba ndo umewazidi kuimba, hutaki kushindanishwa na wasanii wa ndani kwamba unawakandamiza, mbona wasanii wa Wanigeria, Marekani wanashiriki kwenye tuzo za nchi zao tena na wasanii wachanga waliowazidi kila kitu.

Domo acha maneno, wakina Wizkid, Burnaboy ni wakubwa lakini hawanaga ushamba kama huo.
 
Mimi nikiwa na mtoto nikiona ripoti yake ya shule kila siku wa Kwanza na anawapiga gape kubwa wenzake.,nitatafuta namna ya kumpeleka shule ambayo atakua watatu,watano au hata akiongoza,iwe kwa points chache,,changamoto ndio zinafanya tuwe smart...Mara zote humu huwa tunasema USIKAE NA WATU AMBAO HAWAWEZI KUFANYA UKAKUA KIMAWAZO KIUCHUMI...yote aliofanya Domo Leo kwenye mwanamuziki Bora wa kiume wa mwaka awekwe na dulla makabila,lody music,kusah,..fedhea
 
Leo hii nashangaa sana Diamond hataki tena kuwekwa kwenye tuzo za nchini kwao na amesahau kwamba tuzo hizo zilimtangaza kwa namna moja au nyingine.

Naona Domo amekuwa mshamba sana na amejisahau sana.

Kuwazidi wasanii wenzio mafanikio sio kwamba ndo umewazidi kuimba, hutaki kushindanishwa na wasanii wa ndani kwamba unawakandamiza, mbona wasanii wa Wanigeria, Marekani wanashiriki kwenye tuzo za nchi zao tena na wasanii wachanga waliowazidi kila kitu.

Domo acha maneno, wakina Wizkid, Burnaboy ni wakubwa lakini hawanaga ushamba kama huo.
Kimafanikio Diamond yuko juu ila kimuziki hana issue, watu wengi sana wanamzidi. Hata hii album yake ya juzi ni useless kabisa, kuna vijana wanamzidi domo sema tu hawajaanza kutumia uchawi kama domo au hawataki tu.
 
Sasa kwani nao wasianze kutumia uchawi?

NB:Mawazo ya kimasikini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokaya ana stress mno lol. Yaan kaishiwaa Kabisaaa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Unga unampelekesha sana, kamebaki kichwa tu na sasa hivi kanaanza kujichubua, [emoji23][emoji23] tujiandae kuona Misukule yake mtaani ikijichubua pia,

Hana mistari hadi ameanza kuharibu ndoa za watu, yaan yule kijana anasikitisha mnoooo
 
Hii ni interview au kichambo duh!

Jamaa anajibrag mpaka anadanganya, mbaya zaidi anakandia wengine hapo u proffesional wake uko wapi?

Hivi wasanii top 3 Africa naye yumo anatuonaje lakini?
haya mambo ya Top fulani huwa hayana uhalisia sometime na inategemeaga na Ntu na Ntu,
 
Maelezo yako umeyaambatanisha na facts muhimu sana lakini kuna ambao hawawezi kukubali kwa kuwa hawafurahiswi na mafanikio yake.
 
Diamond yupo sahihi kabisa, waliochaguliwa kusimamia TUZO ni watangazaji na wadau wa radio kubwa ambazo hazipigi mziki wa WCB, wewe unategemea nini? Je kuna msanii wa WCB alipata mrabaha na tena wapo formal kabisa. Unajua kwa nini TUZO za East Africa Radio zilikufa?

Tanzania wivu na majungu.
 
Naomba unipinge kwa Hoja Mkuu, me sina chuki na Diamond ila naandika ukweli, na siendeshwi na hisia, kwani ukiwa sio hater maana yake Kila kitu ukubali tu?
People do read between the lines, maelezo yako ya kuwa wewe si hater hayaakisi arguments zako. You might be hating without realizing it, yaani chuki inaku-drive pasina kujua.
Ni kweli kwa upande wa freedom of choice haupaswi kupenda au ku-support kila kitu lakini tatizo likuja pale arguments zinapoonekana ni za kulazimisha na hazina mashiko lakini zinalazimishwa tu ili mradi zimshushe mtu kutoka pale wengine wanapoamini kwamba anastahili kuwepo.
 
Back
Top Bottom