Ep haina hata wiki na unataka afanye yote hayo. You can't be serious man.iyo promotion gani unayozungumzia?,
Je amepiga media tour ngapi na kwenye tv na radio zipi, amefanya shows au matamasha mangapi, ameenda sehemu au nchi ngapi kutangaza iyo EP mpaka useme amewekeza kufanya promotion ya kazi zake. Jaribu kutofautisha kutangaza kazi na kufanya stunts/kiki coz asilimia kubwa ni wanafanya kiki sio kutangaza
Leo hii nashangaa sana Diamond hataki tena kuwekwa kwenye tuzo za nchini kwao na amesahau kwamba tuzo hizo zilimtangaza kwa namna moja au nyingine.
Naona Domo amekuwa mshamba sana na amejisahau sana.
Kuwazidi wasanii wenzio mafanikio sio kwamba ndo umewazidi kuimba, hutaki kushindanishwa na wasanii wa ndani kwamba unawakandamiza, mbona wasanii wa Wanigeria, Marekani wanashiriki kwenye tuzo za nchi zao tena na wasanii wachanga waliowazidi kila kitu.
Domo acha maneno, wakina Wizkid, Burnaboy ni wakubwa lakini hawanaga ushamba kama huo.
Ha haaaa haaaaa hutaki ligi....Nimerekebisha
Kumbe analetaga hela akipata muhesabu!!Hata ingekuwa ni kipaumbele chake ana hiyo hela ya kuanzisha media?
Kimafanikio Diamond yuko juu ila kimuziki hana issue, watu wengi sana wanamzidi. Hata hii album yake ya juzi ni useless kabisa, kuna vijana wanamzidi domo sema tu hawajaanza kutumia uchawi kama domo au hawataki tu.Leo hii nashangaa sana Diamond hataki tena kuwekwa kwenye tuzo za nchini kwao na amesahau kwamba tuzo hizo zilimtangaza kwa namna moja au nyingine.
Naona Domo amekuwa mshamba sana na amejisahau sana.
Kuwazidi wasanii wenzio mafanikio sio kwamba ndo umewazidi kuimba, hutaki kushindanishwa na wasanii wa ndani kwamba unawakandamiza, mbona wasanii wa Wanigeria, Marekani wanashiriki kwenye tuzo za nchi zao tena na wasanii wachanga waliowazidi kila kitu.
Domo acha maneno, wakina Wizkid, Burnaboy ni wakubwa lakini hawanaga ushamba kama huo.
ndio wanayoyasema fans wake kuwa anafanya promo wakati sisi tunaona ni stunts tu sio promo ukizingatia mudaEp haina hata wiki na unataka afanye yote hayo. You can't be serious man.
Sasa kwani nao wasianze kutumia uchawi?Kimafanikio Diamond yuko juu ila kimuziki hana issue, watu wengi sana wanamzidi. Hata hii album yake ya juzi ni useless kabisa, kuna vijana wanamzidi domo sema tu hawajaanza kutumia uchawi kama domo au hawataki tu.
Unga unampelekesha sana, kamebaki kichwa tu na sasa hivi kanaanza kujichubua, [emoji23][emoji23] tujiandae kuona Misukule yake mtaani ikijichubua pia,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Domokaya ana stress mno lol. Yaan kaishiwaa Kabisaaa.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ni ukweli sio dharau.Hii dharau sasa
haya mambo ya Top fulani huwa hayana uhalisia sometime na inategemeaga na Ntu na Ntu,Hii ni interview au kichambo duh!
Jamaa anajibrag mpaka anadanganya, mbaya zaidi anakandia wengine hapo u proffesional wake uko wapi?
Hivi wasanii top 3 Africa naye yumo anatuonaje lakini?
People do read between the lines, maelezo yako ya kuwa wewe si hater hayaakisi arguments zako. You might be hating without realizing it, yaani chuki inaku-drive pasina kujua.Naomba unipinge kwa Hoja Mkuu, me sina chuki na Diamond ila naandika ukweli, na siendeshwi na hisia, kwani ukiwa sio hater maana yake Kila kitu ukubali tu?
Haters at their finest, watakuchosha tu hao.Ep haina hata wiki na unataka afanye yote hayo. You can't be serious man.