Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kweli not fair. Hii inaitwa kufa kufaana[emoji1][emoji4][emoji6]Wakati skendo imemuongezea umaarufu, mwenzie imempandishia malaria kichwani.... Noti fea
Hahaahaa....Aiseee! Uswahili ni shida.
Nitajaribu. Ila maisha siyo mapera hadi mtu apambane nayo. Maisha mipango!Hahaahaa....
Fight With Your kondishenii...
nani tena ana malariaWakati skendo imemuongezea umaarufu, mwenzie imempandishia malaria kichwani.... Noti fea
hamisa ameugua malaria juzi juzi, malaria ikapanda kichwaninani tena ana malaria
wacha weee, vidudu vya malaria vinafukuzana tu kwenye mishipa ya damuhamisa ameugua malaria juzi juzi, malaria ikapanda kichwani
πππππwacha weee, vidudu vya malaria vinafukuzana tu kwenye mishipa ya damu
Malaria ikipanda,ametaka mwenyewe,papa mmepeana,ilikuwa starehe ya wote,sasa mwenzio AME move on,na yeye kwanini asimove on,atafute mume mwingine,azae tena,atafute hela,aache kuwa opportunist,kutafuta pa kutokea,Wakati skendo imemuongezea umaarufu, mwenzie imempandishia malaria kichwani.... Noti fea
Teh baba wa tatuMalaria ikipanda,ametaka mwenyewe,papa mmepeana,ilikuwa starehe ya wote,sasa mwenzio AME move on,na yeye kwanini asimove on,atafute mume mwingine,azae tena,atafute hela,aache kuwa opportunist,kutafuta pa kutokea,
Wanawake wanakera sana,nasubili mabadiriko ya sheria ya ndoa,mkiachana hakuna kugawana Mali,kola MTU na lwake,hakuna anayezuiwa kutafuta