holygrail
JF-Expert Member
- Mar 24, 2012
- 1,303
- 597
Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Uingereza wa ajili ya ziara ya vyombo vya habari,ambapo leo alikuwa akihojiwa na mtangazaji Salim Kikeke wa BBC Swahili
Diamond kwenye mahojiano hayo alisema skendo iliyotokea hivi karibuni kati yake na Hamisa imemuongezea mashabiki na kufanya muziki wake uuze zaidi na ulikuwa mpango wa Mungu wala hajutii
Kingine alichosema ni biashara inayomlipa kwa sasa ni ya karanga
We ni ke au me. Tuanzie hapo kwanza