Diamond Platnumz ahojiwa BBC, Yupo Uingereza kwenye ziara ya vyombo vya habari

We ni ke au me. Tuanzie hapo kwanza
 
Sikuhizi ukitembea na mme wa mtu usitegemee mkewe atakususia nyumba utapambana na umalaya wako vyuma vimekaza waoaji hakuna vimebaki vi ben 10 yani ushinde kwa waganga unaroga danga mama mwenye mume ashinde kanisani kumuombea akuachie kirahisi ilikua enzi za nyerere kama anasubir zari aachike achukue kiti kabisa akae maana atachoka kusimama # chama cha wanawake walio olewa sikuizi hawabebi furushi kususia ndoa kurudi kwao wanapambana kuokoa mabwana zao mikononi mwa wadangaji #
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ukimfumania unambembeleza unamwambi kwa upole mme wangu nimekuja kukufuata twende nyumbani ukaoge nimekuandalia kile chakula chako pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…