Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Habari wana JF,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, acha niende kwenye mada husika.
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, acha niende kwenye mada husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa dar wanakuja sasa hivi, vuta subira mkuu.[emoji18]Wanaume wa mikoani hawataki mchezo ...jamaa kapoza machungu ya korosho
Soulmate nikajua nawe umeenda bila hata kunipa mwaliko?? [emoji57] [emoji53] Mwaliko nao maanisha "twende wote, nikavunje ATM", sio wewe kuninunulia TICKET ya tamasha, nsije kuitwa KI BEN 10.[emoji18]Pole yake
Pole yake
Mkuu ninashida na Mimi naomba unipe pole
[emoji3][emoji3]Soulmate nikajua nawe umeenda bila hata kunipa mwaliko?? [emoji57] [emoji53] Mwaliko nao maanisha "twende wote, nikavunje ATM", sio wewe kuninunulia TICKET ya tamasha, nsije kuitwa KI BEN 10.[emoji18]
Wanaume wa dar wanakuja sasa hivi, vuta subira mkuu.[emoji18]
Yani sisi wakulima wa korosho tuhangaike na soko, yeye aje na vicheni vyake tumwangalie tu, haiwezekani[emoji57] [emoji53]
wanaume wa dar walimpiga pete mr cheek wa lost boyz(imagine pete imevuliwa kwa nguvu kutoka kwenye kidole)Wanaume wa mikoani hawataki mchezo ...jamaa kapoza machungu ya korosho
Kama ni staged basi kachagua tittle mbaya, maana sasa Wana Ntwara a.k.a Wazee wa gesi wataonekana ni Vibaka.Is it not staged....!!?
maana kadiri anavyoongelewa ndivyo tamasha litakavyobamba....
just a business strategy