Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Ubishoo ni Dar tu kwenye wanaume tata.....mikoani hakuna ubishoo. Njoo na ubishoo wako utarudi kwenu Dar ushindwe hata kukaa chini au kujisaidia haja kubwa, huku wanaume hatutaki mambo ya ukike kike. Kuna jamaa walimuona Mose Iyobo anakata mauno kwenye video amechanganikiwa na amehapa LAZIMA amshikishe ukuta kama kweli anakata mauno namna ile. Kafunga nadhili kabisa kuwa akikatiwa kiuno na Mose Iyobo atampa gunia mbili za korosho.