Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwamba jamaa alipangwaa... Hakuna hiyo pale mondi kapigwaa kweli we huoni Mood ilivyokata ghaflaa..Diamond kuibiwa na kutamka dhamani ya vitu alivyoibiwa nikudanganya Watanzania na pia ni kupotezea nini kinaendelea nyuma ya Pazia! Stay Tune[emoji22]
Ubishoooo au njaaa hyoUbishoo ni Dar tu kwenye wanaume tata.....mikoani hakuna ubishoo. Njoo na ubishoo wako utarudi kwenu Dar ushindwe hata kukaa chini au kujisaidia haja kubwa, huku wanaume hatutaki mambo ya ukike kike. Kuna jamaa walimuona Mose Iyobo anakata mauno kwenye video amechanganikiwa na amehapa LAZIMA amshikishe ukuta kama kweli anakata mauno namna ile. Kafunga nadhili kabisa kuwa akikatiwa kiuno na Mose Iyobo atampa gunia mbili za korosho.
Sawa kibamiaKiki kwa Pikipiki......CheniFeki_CheniMdosho_Za Buku5 tano hizo.
Mkuu trust this shit , ile strategic kwa ukweli..jaribu kutazama body language ya Mond utaona ilikuwa kama planned iv!!!! Mi nilivyoona nikasema mond ni ana akili balaa yule jamaa!!Kama ni staged basi kachagua tittle mbaya, maana sasa Wana Ntwara a.k.a Wazee wa gesi wataonekana ni Vibaka.
Sina timu mkuu kama nyie MAZWAZWA,Huyo KIBAKULI na DOMO wote MAMBWIGA tu,Sio kila mtu anayemsema DOMO basi ni TIMU KIBA na Sie kila anayemsema KIBA basi ni TIMU DOMO......SINA TIMU yeyote mie ni mtu wa makavu kwa DOMO na KIBAKULI....wakifanya mazuri tunasifia wakivurunda tunawapa makavu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sina timu mkuu kama nyie MAZWAZWA,Huyo KIBAKULI na DOMO wote MAMBWIGA tu,Sio kila mtu anayemsema DOMO basi ni TIMU KIBA na Sie kila anayemsema KIBA basi ni TIMU DOMO......SINA TIMU yeyote mie ni mtu wa makavu kwa DOMO na KIBAKULI....wakifanya mazuri tunasifia wakivurunda tunawapa makavu.
Kwani zile ni cheni au shanga?Mkuu ninashida na Mimi naomba unipe pole