mmmh umeona ee
[emoji20] [emoji20] [emoji20]Go Baby..Go Goo D
Mkuu kuna tatizo?[emoji20] [emoji20] [emoji20]
Nimemis kuitwa baby[emoji20] [emoji20]Mkuu kuna tatizo?
Nyota wa Africa diamond platnumz ameweka record mpya kwenye mziki wake baada ya kuingia 20 ya wasanii wapya nchini marekani kwa video take ya marry you kupitia mtandao wa Vevo
Video ya marry you imeendelea kufanya vizuri kupitia a/c hiyo mpya ya Diamond ikiwa na views milioni 3.7 ndani ya wiki 3.
View attachment 474030
Mtandao wa Vevo kupitia a/c yake ya twitter ilisififia Kazi hiyo ya diamond na ya davido kwa kuendelea kufanya vizuri duniani
View attachment 474031
Daah [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]!wewe unafanya kolabo na Abbyskills unataka nyimbo yako ipigwe marekani
nani anawajua huko ??