Diamond platnumz aingia top 20 ya New artists in US kupitia wimbo wa marry you

Diamond platnumz aingia top 20 ya New artists in US kupitia wimbo wa marry you

Tukiwapata wakina Mbwana Samatha na kina Diamond wa kutosha itakua poa sana.
Tatizo sasa manyumbu wengi sana hii nchi.
Yaani kuliko yule namba tisa wa Lipuli awe level za Samata na Hamorapa awe level za Diamond eti ni bora hao wawili walio juu washushwe kwanza kuliko wote wanne wawe juu kwa pamoja.
Hii nchi ni ya watu wenye roho ngumu Boko Haramu wanasubiri kwa mbali sana.
 
Hizi habari mbaya sana kwa team kiba na kiba mwenyew..utasikia jamaa kanunua hata hiyo
 
Then kuna watu wanajaribu kumlinganisha Na jamaa Fulani hapa nchini??
nadhani hapajawahi kutokea mwanamuziki Mtanzania aliyewahi kupata mafanikio Kama anayoyapata Diamond kwa sasa!!

sio kwa sasa tu na kwa baade

kwani unaona mrithi wake

maana mie sioni mtu wala watu
 
Kama nakuona ulivyonuna kumchukia huyu mtu lazima uwe na roho ngumu sana bila hivyo utakufa tu
Hapana, sio kweli hata kidogo! Kwa jinsi tulivyo, unahitaji kuwa na roho ngumu kama chuma kutomchukia huyu jamaa!!
 
Back
Top Bottom