Then kuna watu wanajaribu kumlinganisha Na jamaa Fulani hapa nchini??
nadhani hapajawahi kutokea mwanamuziki Mtanzania aliyewahi kupata mafanikio Kama anayoyapata Diamond kwa sasa!!
Mtanyooka tu ongeza lingine msanii mkubwa kijuso imeipita aje rmx mbali sanaTeam Janja Janja na mbeleko za Collabo.
Kama nakuona ulivyonuna kumchukia huyu mtu lazima uwe na roho ngumu sana bila hivyo utakufa tu
PoleNimemis kuitwa baby[emoji20] [emoji20]
Mbaya kivipi kwa kiba?Hizi habari mbaya sana kwa team kiba na kiba mwenyew..utasikia jamaa kanunua hata hiyo
[HASHTAG]#hata[/HASHTAG] kwetu wapo by sam wa ukweliTeam Janja Janja na mbeleko za Collabo.
Hapana, sio kweli hata kidogo! Kwa jinsi tulivyo, unahitaji kuwa na roho ngumu kama chuma kutomchukia huyu jamaa!!Kama nakuona ulivyonuna kumchukia huyu mtu lazima uwe na roho ngumu sana bila hivyo utakufa tu