Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure thing diamond akisikiliza kila nyimbo anajua alikuza kijana ...hamna bifu yeyote pale ni kuonyesha utofauti wa wcb na kondegang.....album ni moto kiukwelAkipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki.
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
I
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
hamna jemaSupport ya kinafki.
Hivi unadhani Diamond aki post biashara yako itakua pale pale.? Kama ni kudivert attention angeongea tu kwa mdomo but posting it... Ni faida zaidi kwa Harmonize kuliko hicho unachokifikiriaKwa kimachale huo ni unafiki. Ku divert attention kwa Harmonize. Imekula kwake. Watanzania wote sasa macho ni kwa Konde Boy a.k.a Tembo, Jeshi, Konde Gang.
Well said mkuu [emoji122][emoji122]Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Wote? Una uhakika? Mbona mimi hizi habari ndio kwanza naziona hapa?Kwa kimachale huo ni unafiki. Ku divert attention kwa Harmonize. Imekula kwake. Watanzania wote sasa macho ni kwa Konde Boy a.k.a Tembo, Jeshi, Konde Gang.
jf imejaa vijana wa form 4 shule za kata,hawana uwezo wa kufikiri hata kidogo,msamehe bureHivi unadhani Diamond aki post biashara yako itakua pale pale.? Kama ni kudivert attention angeongea tu kwa mdomo but posting it... Ni faida zaidi kwa Harmonize kuliko hicho unachokifikiria
Jamaa ni mjanja, hapa mjifunze kuwa kupambana na adui yako si lazima utumie chuki ata upendo unaweza kummaliza kabisa..
jf imejaa vijana wa form 4 shule za kata,hawana uwezo wa kufikiri hata kidogo,msamehe bure