Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

Ila pia ni nzia ya kuongeza viwers. Ni business pia kwake. Sijui kama moyoni ndivyo alivyomaanisha pia@Diamond Platnumz
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.

Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki.

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

I
Sure thing diamond akisikiliza kila nyimbo anajua alikuza kijana ...hamna bifu yeyote pale ni kuonyesha utofauti wa wcb na kondegang.....album ni moto kiukwel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wabongo pasua...

Kipind ruge Kakata moto, waksema kwanini hujampost,,kisa jamaa alikausha..leo anatoa support anaambiwa mnafki..ila hata angekausha angeambiwa ana roho mbya..[emoji16][emoji16] alafu hao vitasa wamejaa humu jf skuiz
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kimachale huo ni unafiki. Ku divert attention kwa Harmonize. Imekula kwake. Watanzania wote sasa macho ni kwa Konde Boy a.k.a Tembo, Jeshi, Konde Gang.
Hivi unadhani Diamond aki post biashara yako itakua pale pale.? Kama ni kudivert attention angeongea tu kwa mdomo but posting it... Ni faida zaidi kwa Harmonize kuliko hicho unachokifikiria
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.

Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Well said mkuu [emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jf imejaa vijana wa form 4 shule za kata,hawana uwezo wa kufikiri hata kidogo,msamehe bure

Wanashindwa kutambua out of all people waliohudhuria jana mtu pekee ambae mpaka sasa kafanya kitu cha maana ni Diamond. Ni post yake pekee ndio imewahamasisha watu wakanunue album, the rest wameishia kupiga picha na kuonyesha walihudhuria.
 
Back
Top Bottom