Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
una akili sana wewe,wengi wameishia kuonyesha suti zao na kwamba walialikwa basiWanashindwa kutambua out of all people waliohudhuria jana mtu pekee ambae pekee ambae mpaka sasa kafanya kitu cha maana ni Diamond. Ni post yake pekee ndio imewahamasisha watu wakanunue album, the rest wameishia kupiga picha na kuonyesha walihudhuria.
Mkuu, watanzania wengi ni wachawi mno.Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
nilichogundua mdogo wangu una jazba sana kuliko fact,it's either coz of your age,pyschological problems or life status....Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.
Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !
Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.
Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.
Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !
Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.
Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
yaan sijui unafikiria nini, mondi ana followers zaidi ya 8m, konde ana 5m, hauoni mondi kampaisha sana huyo mmakondeKwa kimachale huo ni unafiki. Ku divert attention kwa Harmonize. Imekula kwake. Watanzania wote sasa macho ni kwa Konde Boy a.k.a Tembo, Jeshi, Konde Gang.
unachokiongea unakijuaSupport ya kinafki.
hebu wasahidie haoyaan sijui unafikiria nini, mondi ana followers zaidi ya 8m, konde ana 5m, hauoni mondi kampaisha sana huyo mmakonde
This is best comment of this yearAkipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Buddy haiko hivyo.Support ya kinafki.
Ukichangia ukalipwa utasema ni mchango?Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"
Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.
Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.
Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.
Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Let's assume Diamond angemuacha kipindi kile ambacho washika dau wamemkataa,BSS imemkataa .Hivi hizo hela za kulipa angezipata wapi?