Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

Wanashindwa kutambua out of all people waliohudhuria jana mtu pekee ambae pekee ambae mpaka sasa kafanya kitu cha maana ni Diamond. Ni post yake pekee ndio imewahamasisha watu wakanunue album, the rest wameishia kupiga picha na kuonyesha walihudhuria.
una akili sana wewe,wengi wameishia kuonyesha suti zao na kwamba walialikwa basi
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.

Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Mkuu, watanzania wengi ni wachawi mno.
 
Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.

Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !

Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.

Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
 
Ndo Akiri za ki africa izo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.

Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !

Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.

Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
nilichogundua mdogo wangu una jazba sana kuliko fact,it's either coz of your age,pyschological problems or life status....
 
Kakate Uno tu mkuu..usije kufa na stress za wanaume wenzio
Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.

Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !

Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.

Hakuna kitu sikipendi kama unafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kawaida sana Diamond kafanya la maana sana.. Nakumbuka kipindi Lily wayne ametoka cash money walikua hawaelewani na birdman ambae ni kama baba yake kimuziki ila siku moja birdman alisema yoyote ataegombana na wizzy anagombana na mimi he's still my Son.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara paaap....Kondegang na Wasafi waingia makubaliano mapya ya kibiashara na kuungana !!!

20200310_112410.jpg
 
Kondeboy yuko njiani kumzidi mondi.
Na kwenye hii album kaweza kuacha kumuigaiga mondi...sasa fikiria angekua na makiki ya kijinga kama mondi hii album ingepaa sana !!!
 
Wajinga pia tunao humu humu jamiiforums

Siyo Kila Kiuzwacho Sokoni Chafaa Kununuliwa
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.

Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
This is best comment of this year
 
Support ya kinafki.
Buddy haiko hivyo.
Just wafatilie hao jamaa they do business.

Na hela wanayopiga si ya kitoto Alikiba anaumia sana na hili jambo ipo siku atalisema ndipo mtakapojua kuwa Diamond, managers wake na Kusaga ni masterminds people
 
Akipost watu watasema angekaa kimya watasema,kuna wengine wanasema support ya kinafiki,asingepost wengesema "ana roho mbaya kila siku anataka kuwa yy"

Lakini hii album WCB wana mchango mkubwa ktk uandaaji wake huo ndio ukweli,ukizisikiliza zile nyimbo nina uhakika ile album imepikwa ndani ya miaka miwili minimum,sizani kama Konde alikurupuka.

Tunaongea tu lkn Harmonize and Diamonds wana history,ambayo hata ufanye nini haiwezi futika.

Anamjua Konde ambaye hana kitu,alidharaulika BSS kakaa naye kampika kwa miaka mitatu then ndipo wakaanza kuachia nyimbo.

Humu JF kulikuwa na thread kibao za kumponda Harmonize anafanana na Diamond mpaka watu wakaponda Mondi anapoteza hela zake.Lkn akaziba masikio akaamini kuwa Harmonize anajua akawekeza hela yake leo Konde huyu hapa anafanya vizuri na husikute hao wanao msifia sasa hivi nyuma walikuwa wanamponda.
Ukichangia ukalipwa utasema ni mchango?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichangia ukalipwa utasema ni mchango?

Sent using Jamii Forums mobile app
Let's assume Diamond angemuacha kipindi kile ambacho washika dau wamemkataa,BSS imemkataa .Hivi hizo hela za kulipa angezipata wapi?

Hao watu wa sasa wanaye muona wa maana wangemwona wapi?

Hata kama wangemwona wange mvumilia na kumbeba kama Diamond? Kuna kipindi cha nyuma Mondi wakati akimzunguzia Harmonize,alisema ilifika kipindi alitamani kuachana na Harmonize sababu ya maneno ya watu ya kumkatisha tamaa eti "Harmo anafanana na Yy,atapoteza mda na hela yake".Ila yy aliziba sikio akapiga moyo konde akambeba mpaka leo.

Issues sio kulipa alichomfanyia Diamond,Harmonize ni zaidi ya hela aliyomlipa na hata Diamond alichofanyiwa na Papa Misifa ni zaidi ya hela aliyo mlipa.

Kwa hiyo si shangai Mondi kuposti sababu wana historia ambayo HAITAKUJA KUFUTIKA never.

Alafu Mondi kawa fair sana kwa Harmonize pamoja na kumlipa hiyo million 600,kamwachia Youtube acc,Kamwachia brand yake ya Harmonize,Kamruhusu kuimba nyimbo ambazo zilisimamiwa na WCB.

Hivi unamjua Kizz Daniel?Yule kabla ya kutoka ktk label ya G Worldwide iliyomtoa alikuwa anaitwa Kiss Daniel,lkn baada ya kutoka wakamwambia kwanza haruhusiwi kutumia jina la Kiss Daniel ,Youtube acc na hata kuperform nyimbo alizoziimba chini ya G worldwide.

Hivi unajua Davido chini ya Label yake ya DMV wasanii wake wote nyimbo zao na video zao Youtube zipo kwenye acc ya Davido,hamna hata mmoja mwenye account yake binafsi.Mayorkun pamoja na ukubwa wake hana account yake binafsi ya Youtube.

Hivi unamjua Joeboy ambaye mwaka jana ametikisa Nigeria kwa vibao vyake viwili baby na beginning,kama hujui nyimbo zake zote zipo kwenye acc ya empower,hana account binafsi ya Youtube.

Barakha Da Prince wakati anaondoka Rockstar yy mwenyewe alikili ana nyimbo mbili moja kafanya na Casper Nyvest nyingine na Sarkodie,RockStar wamezizuia na account ya Youtube aliyofunguliwa chini ya RockStar wamemzuia kutumia.

Sasa ukitafakari utagundua WCB walikuwa fair sana kwa Harmonize.Kama wangesema wampigie mahesabu basi kuanzia brand ya jina lake,acc Youtube na vinginevyo angelipa hela ndefu sana.

WCB wao walizuia hizi nyimbo ambazo zipo kwenye Afroeast sababu nyingi walizisimamia wao,ndio wakadai hela yao.
 
Back
Top Bottom