Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

Diamond Platnumz aipromoti albamu ya Harmonize

Unafiki tu., bora liende sasa atafanyaje.

Huko siyo kupromote, ni kushare tu mara moja then it!s done !

Kwahiyo jana hakuna hat mtu mmoja wa WCB aliyepata muda wa kwenda Mlimani City kama ilivyokuwa kwenye harusi Serena.

Hakuna kitu sikipendi kama unafiki
Kunywa maji ya kutosha Mkuu.
Maumivu yakizidi muone daktar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeyasikia yapi?

Kaelewa kama alikuwa ngazi na ndio maanda akawa fair upande wa malipo na ndio maana kapost,sasa hivi asingepost wewe ungesemaje?

Diamond kishawahi kuongea issue ya Konde kwenye chombo chochote cha habari?

Mashabiki huwezi kuwazuia kuongea Ajibu alikuwa Yanga Simba walikuwa wanamkataa ,Ajibu leo yupo Simba Yanga ambao walikuwa wanakubali leo wanamkataa.

Huyo Diamond anapondwa na kusemwa na mashabiki mara ngapi?
Weka na Numbisa please
 
Diamond hajamsaidia Harmo ...ndio maana alimsainisha mikataba....ilikuwa biashara ...kilichomuondoa Konde boy Wasafi ni wale chawa watatu Salam,Tale na Fella wanakula kama panya ndio maana wana matumbo makubwa kama hawashushi.....Sidhani kama Mond ana chuki na Harmo zaidi ya hao machawa mkate umepungua...Konde boy 4 everybody
 
Mambo ya kawaida sana Diamond kafanya la maana sana.. Nakumbuka kipindi Lily wayne ametoka cash money walikua hawaelewani na birdman ambae ni kama baba yake kimuziki ila siku moja birdman alisema yoyote ataegombana na wizzy anagombana na mimi he's still my Son.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo chinga boy ni mtoto wa mondi?
 
Vyovyote iwavyo Album ya Konde mbovu..nyimbo za kueleweka hazizidi 3...album.nzima imejaa nyimbo zenye maadhi (melody) ya kujirejea, maneno ya kizungu yenye kujirudiarudia mpk kero, imejaa remix kwa kurudia baadhi ya maneno ya kwenye nyimbo za wasanii wa zamani (ladha inaondoka maana hizo nyimbo tulishazichoka)...kiufupi album haina JIPYA na haitadumu na kumlipa sana kama anavyotarajia...hii albam naamini angeiipika wakati yupo WCB angeuza sana licha ya ubovu wake...
 
Sasa sijajua mimi na ww nani alikuwa anamtukana Harmonize JF,hii post yako 2016 ukimponda Harmonize anafana na Diamond,leo 2020 unamsifia sasa mimi na wewe nani mnafiki.
Sauti ya Diamond kwenye wimbo wa Dully Sykes feat Harmonize - INDE
View attachment 1389434
Mzee hawa watu Numbisa na Daudi Mchambuzi hujawajua tu!? hawa ni haters wa Diamond na Wcb na sio fans wa muziki wanaumia sana wanapoona Mond anafanikiwa wanatamani Leo kesho ashuke lakini waapi...walivyo wanafki sasa baada ya kuona jitihada za kumshusha kwa kumtumia Kiba zimegonga mwamba wamehamia upande wa Harmo na kujifanya kumsapoti kipindi hiki na wakati mwanzo walimponda na sasa Mind kawaumbua zaidi baada ya kuonyesha kuwa bado yupo pamoja na kijana wake kwahiyo wanachokifanya hapa ni kuanza kurushia mipira watu eti oh mlikua mnamponda Harmonize wakati wao ndio wapondaji wakubwa wa Wcb toka kipindi hiko...

Jamii ya watu kama hawa ndio wale ambao ni wanafki na hatupaswi kuishi nao kwenye jamii yetu ya kitanzania...off course sio lazima kila mtu ampende Mond hata mm bongo Nina wasanii wangu ila sio mind na kiba lakini siwezi nkaonyesha chuki za wazi na za kichawi kwa mtu ambaye sio my favorite badala yake wakifanya mazuri huwa napongeza vilev
 
Mzee hawa watu Numbisa na Daudi Mchambuzi hujawajua tu!? hawa ni haters wa Diamond na Wcb na sio fans wa muziki wanaumia sana wanapoona Mond anafanikiwa wanatamani Leo kesho ashuke lakini waapi...walivyo wanafki sasa baada ya kuona jitihada za kumshusha kwa kumtumia Kiba zimegonga mwamba wamehamia upande wa Harmo na kujifanya kumsapoti kipindi hiki na wakati mwanzo walimponda na sasa Mind kawaumbua zaidi baada ya kuonyesha kuwa bado yupo pamoja na kijana wake kwahiyo wanachokifanya hapa ni kuanza kurushia mipira watu eti oh mlikua mnamponda Harmonize wakati wao ndio wapondaji wakubwa wa Wcb toka kipindi hiko...jamii ya watu kama hawa ndio wale ambao ni wanafki na hatupaswi kuishi nao kwenye jamii yetu ya kitanzania...off course sio lazima kila mtu ampende Mond hata mm bongo Nina wasanii wangu ila sio mind na kiba lakini siwezi nkaonyesha chuki za wazi na za kichawi kwa mtu ambaye sio my favorite badala yake wakifanya mazuri huwa napongeza vilev
Hebu acha jazba za kike.

Kutwa nzima msanii yyoyote akionesha mafanikio mnamtukana, mnamuombea mabaya, mnakua na imani za kichawi kuwa ni Diamond pekee ndiyo anapaswa kufanya vizuri na pia hamuamini kuwa Diamond anaweza kufanya vizuri at the same time na mwingine akafanya vizuri.

Sasa jana mmeumbuka baada ya Diamond kupromote album ya Harmonize.

Jitahidi uwe shabiki wa vitu vizuri ili uwe flexible na sio uwe shabiki wa mtu binafsi akibadilika unabaki unaumbuka kama hivi.
 
Back
Top Bottom