Diamond Platnumz aja na albamu yake "A boy from Tandale"

KIUKWELI SIJUI UMEANDIKA VINN BOSSSSSSSSS
NAHC KWENU WACHAWI
 
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Ahaha aisee ni kweli kwa level ya Kiba kuzunguka na wakina Sharomwamba Fiesta ni aibu
Kiba mpaka kwenye vigodolo vya uswazi mbona huwa anapiga show kama kawa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Baada ya miaka miwili mitatu watu wataanza kuingia show zake kwa kununua vinywaji tu kaunta.
 
ha ha ha Diamond mwenyewe anasema hii album ya kwanza.. wewe unasema ya 3...

sugu ana album 10 tu.. na hata nikilima viazi simiyu je ninavunja sheria

 
Ameshaimba mwenyewe nyimbo nyingi sanaaaa na ndio zilizompa umaarufu sasa ni muda wa kuonjeshwa ladha tofauti tofauti kupitia makolabo

Ni muda wa kuipeleka bongofleva kimataifa unafikiri ni rahisi kuingia ukiwa pekeako? Hata nyerere hakudai uhuru akiwa pekeake
 
ha ha ha Diamond mwenyewe anasema hii album ya kwanza.. wewe unasema ya 3...

sugu ana album 10 tu.. na hata nikilima viazi simiyu je ninavunja sheria
Anasema kwa "International Albam" hii ni Albam yake ya kwanza kuvuka mipaka mpaka kufika duniani.

Ila kama unazungumzia Albam kwa maana ya Albam hii inakwenda kuwa Albam yake ya tatu ukibisha nakuacha
 
Diamond ni Inspirational .

Kama wote tungekuwa na jitihada kama alizonazo Diamond kwa kile tunachokifanya, ninaamini tungekuwa mbali sana.

Let's be positive guys, tujifunze kwamba inawezekana.
 
Woow Diamond Mungu atazidi kukubariki hujawahi wala kufikiria kupachukia ulipotoka. Aidha hii itawainspire vijana kwa ukifanya bidii na chochte unachokifanya utafanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…